MOD UKITAKA KUBADILI CHOCHOTE SEMA NAMI BWANA NASIKIA ACHA UJUAJI.
MADA
Wakati wa tendo la ndoa, msuguano ukizidi unaweza kusogeza bakteria kutoka kwenye ngozi au eneo la haja kubwa ya ke kuelekea kwenye tundu la mkojo la me na ke simulitaneously, na bakteria hao wanapoingia kwenye njia ya mkojo wanaweza kusababisha UTI.
Mambo yanayoweza chochea UPATIKANAJI WA UTI.
KUFANYA NGONO BILA KUZINGATIA USAFI, MSUGUANO, SPIDI NA STYLE ZA 5G. kama vile,
Doggy na Frog Style ambazo ni moja ya 5g styles hizi ni moja ya style zenye uwezo mkubwa wa kuongeza msuguano na mgusano unaosogeza bakteria karibu na tundu la mkojo.
Kutumia choo chenye uchafu hakusababishi UTI moja kwa moja, lakini kuhamisha bakteria kutoka eneo la haja kubwa kwenda kwenye tundu la mkojo kunaweza kuongeza hatari ya maambukizi.
Jinsi ya kupunguza hatari YA MAAMBUKIZI :
Kunywa maji ya kutosha
Kojoa baada ya tendo la ndoa USILALE BILA KUKOJOA IKIBIDI OGA KABISA.
Jifute kutoka mbele kwenda nyuma baada ya kujisaidia hasa wanawake.
Epuka kuhamisha bakteria kutoka njia ya haja kubwa kwenda ukeni kwa wale wanaopenda kuchoma dole/kupima oil chafu, na wale wanaopenda mambo yachukizayo wanaume kwa wanawake aka ufiraji. Epuka matendo ya kimbuzi mbuzi kwenye ngono
UTI inaweza kumpata hata mtu mwenye usafi mzuri. UTI na kisonono ni magonjwa tofauti. Ukipata maumivu wakati wa kukojoa, pima ili kujua chanzo.
Elimu ya afya ni kinga!,