Lakini hata between inaleta maananadhani jibu lake ndo la kweli
Lakini hata between inaleta maana
Umesema yote hny,
hope u good dia
am good just missing u.
:juggle::juggle::juggle::nerd:1.Mtu akipost thread hata kama ya msingi kuna baadhi ya members wanaigeuza kuwa genge la kunywa kahawa
mf:kupiga story tofauti na mada husika lengo la thread mpaka linapotea
2.Watu hawaheshimu mawazo ya watu;Mfano,ooh umepost upupu,unawaza kwa kutumia organ ya mwili,umetumwa e.t.c
3.Thread imenoga,jinsi unavyochangia ndo jinsi PM zinavyoingia mpaka browsing inaenda slow.
4.wengine wanatumia ufupisho wa ajabu mpaka unashindwa kuelewa,mf.sasa anaandika xaxa,sisi anaandika cc.
5.Huku ukieleza kuhusu facebook utapondwa ila 99% wanazo account za facebook.
6.Members wapya wanajua kila jukwaa,wanawajua members wa siku nyingi wanaochangia mada na mbinu za kuwafuatilia.
7.Mtu anapost thread halafu haonekani tena na hujui hata kama ameridhika na ushauri au majibu.
8.Watu wataponda kuhusu thread uliyopost but hawaachi kuchangia,kama wamelazimishwa vile kuponda wengine.
9.Kutafuta ban makusudi ili ujulikane humu
ongezea na mengine yanayokukera
lol,sasa ningeuchuna?
Mi niko poa Dena Amsi,Habari ya kwako
Bila shaka hapo kwenye bold unamaanisha memba mbeba maboksi fulani kule ulaya.Xaxa, cc, ww, dem, 2mbili, vp, cimu, sim (simu), 2nda, mm,nn,ccmizi, cjui,co,ka2ma,. . .
Xaxa, cc, ww, dem, 2mbili, vp, cimu, sim (simu), 2nda, mm,nn,ccmizi, cjui,co,ka2ma,. . .
lol somtimes inabidi,
nimekumiss pia but nakuona tu uko busy
Mi niko poa Dena Amsi,Habari ya kwako
hehehe unanchekesha kweli
source.FF