Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
umeona eeh
yaani utafikiri kuku aliekatwa kichwa
mtu anaongea upupu mpaka unatamani kuvunja pc
ya ofisi
lazma upigwe ban maana majitu mengine
hayavumiliki?
pembeni ya mada umebadili tena avatar
lool sasa hii ni picha yako au ?
yaani utafikiri kuku aliekatwa kichwa
mtu anaongea upupu mpaka unatamani kuvunja pc
ya ofisi
na kama unagonga kestolaitunakuta taarifaya ya kusikitisha ila wanaleta mzaha
lazma upigwe ban maana majitu mengine
hayavumiliki?
pembeni ya mada umebadili tena avatar
lool sasa hii ni picha yako au ?