Mambo yanayoudhi humu jamvini

Mambo yanayoudhi humu jamvini

hahaha unaweza kuta kuna vampires humu ,huwezi jua bwana Excellent
mi nachukia sana kuziona ,napenda wanyama wengi lakini sio nyoka,halafu na hicho cha kiwembe kwenye jicho
 
1.Mtu akipost thread hata kama ya msingi kuna baadhi ya members wanaigeuza kuwa genge la kunywa kahawa
mf:kupiga story tofauti na mada husika lengo la thread mpaka linapotea
2.Watu hawaheshimu mawazo ya watu;Mfano,ooh umepost upupu,unawaza kwa kutumia organ ya mwili,umetumwa e.t.c
3.Thread imenoga,jinsi unavyochangia ndo jinsi PM zinavyoingia mpaka browsing inaenda slow.
4.wengine wanatumia ufupisho wa ajabu mpaka unashindwa kuelewa,mf.sasa anaandika xaxa,sisi anaandika cc.
5.Huku ukieleza kuhusu facebook utapondwa ila 99% wanazo account za facebook.
6.Members wapya wanajua kila jukwaa,wanawajua members wa siku nyingi wanaochangia mada na mbinu za kuwafuatilia.
7.Mtu anapost thread halafu haonekani tena na hujui hata kama ameridhika na ushauri au majibu.
8.Watu wataponda kuhusu thread uliyopost but hawaachi kuchangia,kama wamelazimishwa vile kuponda wengine.
9.Kutafuta ban makusudi ili ujulikane humu

ongezea na mengine yanayokukera
mkuu napita 2.nimeisoma thread ingawa kwa haraka haraka.nitarud namfata jamaa anipe pesa yangu kaniambia ana2ma kwa mtandao wa cm za mkonon naona ha2m so dawa kumuibukia hukohuko-i insist narud.
 
mkuu napita 2.nimeisoma thread ingawa kwa haraka haraka.nitarud namfata jamaa anipe pesa yangu kaniambia ana2ma kwa mtandao wa cm za mkonon naona ha2m so dawa kumuibukia hukohuko-i insist narud.
jitahidi upate hiyo pesa
 
Ww mwenyewe na mpenzio mshageuza bedroo,unaona sasa? Huwezi kuzuia, hata msibani hatulii saa zote manake tutakaukiwa. Kuna kutaniana, kulia na kuongea issues serious.
Afu umenikumbusha, kumbe nimekumis eeh!
hope u good dia
 
mimi naudhika unakuta mtu anachangia thread kwa sauti kubwa mpaka huku nilipo masikio yanauma!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Ww mwenyewe na mpenzio mshageuza bedroo,unaona sasa? Huwezi kuzuia, hata msibani hatulii saa zote manake tutakaukiwa. Kuna kutaniana, kulia na kuongea issues serious.
Afu umenikumbusha, kumbe nimekumis eeh!
lol somtimes inabidi,
nimekumiss pia but nakuona tu uko busy
 
Ww mwenyewe na mpenzio mshageuza bedroo,unaona sasa? Huwezi kuzuia, hata msibani hatulii saa zote manake tutakaukiwa. Kuna kutaniana, kulia na kuongea issues serious.
Afu umenikumbusha, kumbe nimekumis eeh!

hehehe unanchekesha kweli
source.FF
 
Habari ndo hiyo hapa ni chit chat bana

Excellent Habari yako binafsi
 
Back
Top Bottom