but sometimes kutokana na msimamo wako utaheshimiwa pia
haya na mimi nitafsirieni hii BTW maana huwa linanipa shida kweli, sisi wengine kingereza chetu ni British Council.
Umeliwa kaka, jibu ameshalitoa Lizzy hapo juu.Labda hapo anamaanisha between
ok kwa mfano mtu akacoment kuhusu mwonekano wako kwenye thread na ukaona kuna ukweli,hapo hujiulizi?na yeye humfahamu
kuna zile avatars za nyoka halafu mtu kaweka kiwembe kwenye jicho halafu jicho linatoa damu,dah kinanikera balaa
Sasa mbona na wewe unazidi kumkera hny?Umesema yote hny,
c3ma,mm,cytaki,cyo mm,2onane,2chat
1.Mtu akipost thread hata kama ya msingi kuna baadhi ya members wanaigeuza kuwa genge la kunywa kahawa
mf:kupiga story tofauti na mada husika lengo la thread mpaka linapotea
2.Watu hawaheshimu mawazo ya watu;Mfano,ooh umepost upupu,unawaza kwa kutumia organ ya mwili,umetumwa e.t.c
3.Thread imenoga,jinsi unavyochangia ndo jinsi PM zinavyoingia mpaka browsing inaenda slow.
4.wengine wanatumia ufupisho wa ajabu mpaka unashindwa kuelewa,mf.sasa anaandika xaxa,sisi anaandika cc.
5.Huku ukieleza kuhusu facebook utapondwa ila 99% wanazo account za facebook.
6.Members wapya wanajua kila jukwaa,wanawajua members wa siku nyingi wanaochangia mada na mbinu za kuwafuatilia.
7.Mtu anapost thread halafu haonekani tena na hujui hata kama ameridhika na ushauri au majibu.
8.Watu wataponda kuhusu thread uliyopost but hawaachi kuchangia,kama wamelazimishwa vile kuponda wengine.
9.Kutafuta ban makusudi ili ujulikane humu
ongezea na mengine yanayokukera
yaani ilimradi tu na yeye ameibua jambo flaniHahahhaha....utaona 6taki,7bu,4toz,h8.....balaa. Ila kila afanyacho mtu ujue ndo hulka yake,mwingine anaanzisha thread si kweli kwamba tatizo ni lake labda ameanzisha tu watu mmpate pakupiga soga. Mwingine anaamua ku-criticize jinsia ya mtu kutokana na alichokiandika...Mwingine anatengeneza identity (mfano: na log off au nashut down) ili tujue hiyo ni signature ya fulan...ili mradi kila mtu anafanya anachojisikia na kinampa raha..