Mambo yanayoudhi humu jamvini

Mambo yanayoudhi humu jamvini

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,370
1.Mtu akipost thread hata kama ya msingi kuna baadhi ya members wanaigeuza kuwa genge la kunywa kahawa
mf:kupiga story tofauti na mada husika lengo la thread mpaka linapotea
2.Watu hawaheshimu mawazo ya watu;Mfano,ooh umepost upupu,unawaza kwa kutumia organ ya mwili,umetumwa e.t.c
3.Thread imenoga,jinsi unavyochangia ndo jinsi PM zinavyoingia mpaka browsing inaenda slow.
4.wengine wanatumia ufupisho wa ajabu mpaka unashindwa kuelewa,mf.sasa anaandika xaxa,sisi anaandika cc.
5.Huku ukieleza kuhusu facebook utapondwa ila 99% wanazo account za facebook.
6.Members wapya wanajua kila jukwaa,wanawajua members wa siku nyingi wanaochangia mada na mbinu za kuwafuatilia.
7.Mtu anapost thread halafu haonekani tena na hujui hata kama ameridhika na ushauri au majibu.
8.Watu wataponda kuhusu thread uliyopost but hawaachi kuchangia,kama wamelazimishwa vile kuponda wengine.
9.Kutafuta ban makusudi ili ujulikane humu

ongezea na mengine yanayokukera
 
tuko sampuli tofauti
kinachoniudhi ni kuudhika.
 
Sasa unaudhika nini?
Kwani ulivyojisajili kulikua na makubaliano kwamba hayo hayatakuwepo?
 
Sasa unaudhika nini?
Kwani ulivyojisajili kulikua na makubaliano kwamba hayo hayatakuwepo?
Yapo tu ambayo yanakura huwezi ukawa perfect
 
Mimi hicho kipengele cha 4 ndo haswa kinanipa hasira watu wanafupisha kiajabu ajabu utadhani wanaandika text messages kwenye simu kwamba ikizidi 1 page atachajiwa 2 pages. Maneno mengine huwa sielewi kabisa
 
Xaxa, cc, ww, dem, 2mbili, vp, cimu, sim (simu), 2nda, mm,nn,ccmizi, cjui,co,ka2ma,. . .
 
Mimi hicho kipengele cha 4 ndo haswa kinanipa hasira watu wanafupisha kiajabu ajabu utadhani wanaandika text messages kwenye simu kwamba ikizidi 1 page atachajiwa 2 pages. Maneno mengine huwa sielewi kabisa
kuna zile avatars za nyoka halafu mtu kaweka kiwembe kwenye jicho halafu jicho linatoa damu,dah kinanikera balaa
 
Kwahiyo usipokua perfect ndio unakereka?
I must be perfect then.
Basi mpaka uwe na moyo mgumu,but i think kila mtu kuna kitu inamkwaza
 
Well not here.
Ya nini kuumizwa kichwa na watu nisiowajua?
ok kwa mfano mtu akacoment kuhusu mwonekano wako kwenye thread na ukaona kuna ukweli,hapo hujiulizi?na yeye humfahamu
 
ok kwa mfano mtu akacoment kuhusu mwonekano wako kwenye thread na ukaona kuna ukweli,hapo hujiulizi?na yeye humfahamu
Kwanini nisumbuliwe na mtu kucomment kuhusu muonekano wangu kama mwenyewe nimeridhika na mwonekano wangu?Hata anaenijua akiniambia mimi ni mbaya sitotilia maanani.
 
Kwanini nisumbuliwe na mtu kucomment kuhusu muonekano wangu kama mwenyewe nimeridhika na mwonekano wangu?Hata anaenijua akiniambia mimi ni mbaya sitotilia maanani.
Umezoea nadhani,but for me nitakuwa naattack him/her
 
Back
Top Bottom