Mambo yanayotokea katika vikao vya CCM hayakuhusu.

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,729
Reaction score
5,639
Kama upon mtafaruku,CCM watafanya Press Conference watasema kwamba wameshindwa kuelewana.
Ya nini kuleta tetesi na uvumi?
CCM wameshamchagua mgonbea na Nchimbi amepigilia msumari jana anasema mgonbea wa CCM ni Samia Suluhu.
 
Nchi mgombea mwenza unategemea asememe nini?
Yeye mwenyewe ni zao la haramu.

Haramu bin haramu.

Nchi hana Audacity ya kuliongelea hili.
 
Kama upon mtafaruku,CCM watafanya Press Conference watasema kwamba wameshindwa kuelewana.
Ya nini kuleta tetesi na uvumi?
CCM wameshamchagua mgonbea na Nchimbi amepigilia msumari jana anasema mgonbea wa CCM ni Samia Suluhu.
🙂
 
Wewe ni msemaji wa CCM?

Kama hayo mambo ya huko CCM hayatuhusu waTanzania; ondokeni nayo wenyewe mtokomee kokote kunakowafaa.

Mara nyingi unaleta mada za kichaa chaa sana humu; sijui unamatatizo ya akili?

Nchimbi ni nani, ndiye anayewaamulia waTanzania wafugwe kama mifugo mnavyo fugwa nyinyi?
 
Kama upon mtafaruku,CCM watafanya Press Conference watasema kwamba wameshindwa kuelewana.
Ya nini kuleta tetesi na uvumi?
CCM wameshamchagua mgonbea na Nchimbi amepigilia msumari jana anasema mgonbea wa CCM ni Samia Suluhu.
Pumbavu , kila chama lazima fuatilia ,Tz hatuna sheria ya Mgombea binfsi ,nchi inataka reforms za uchaguzi huru periods, period
 
Wewe blaza ndiyo maana ulikuwa unagombea chenji na wale madogo kule Mwitongo hadi wakakupiga PI usikanyage tena kule, unazingua sana.
 
Pumbavu , kila chama lazima fuatilia ,Tz hatuna sheria ya Mgombea binfsi ,nchi inataka reforms za uchaguzi huru periods, period
Ungekuja dhima ya kuandika alivyoandika hata usingetukana.

Rudia kusoma alichoandika utafute ujumbe aliouficha.
 
Mbona kama mnapanic,hii nchi sio yenu peke yenu,muinajisi katiba halafu mnataka watu wake kimya,wapuuzi nyinyi
 
Kama upon mtafaruku,CCM watafanya Press Conference watasema kwamba wameshindwa kuelewana.
Ya nini kuleta tetesi na uvumi?
CCM wameshamchagua mgonbea na Nchimbi amepigilia msumari jana anasema mgonbea wa CCM ni Samia Suluhu.
Ww ndio hutakiwi chawa gani sijui ww acha uchawa utakufa
 
Back
Top Bottom