Mambo yanayotokea katika vikao vya CCM hayakuhusu.

Mambo yanayotokea katika vikao vya CCM hayakuhusu.

Ungekuja dhima ya kuandika alivyoandika hata usingetukana.

Rudia kusoma alichoandika utafute ujumbe aliouficha.
Nipe tusi nimetukana , pumbavu ,nchi hii sio ya machawa ni ya watz wote , nyie machawa hakuna ulazima wa kijimilikikisha nchi hii ,mtakufa midomo wazi asema Bwana ,pumbavu
 
Kama upon mtafaruku,CCM watafanya Press Conference watasema kwamba wameshindwa kuelewana.
Ya nini kuleta tetesi na uvumi?
CCM wameshamchagua mgonbea na Nchimbi amepigilia msumari jana anasema mgonbea wa CCM ni Samia Suluhu.
Alikuwa anapigilia msumari? Kwani ni nani aliuchomoa?!
 
Kama upon mtafaruku,CCM watafanya Press Conference watasema kwamba wameshindwa kuelewana.
Ya nini kuleta tetesi na uvumi?
CCM wameshamchagua mgonbea na Nchimbi amepigilia msumari jana anasema mgonbea wa CCM ni Samia Suluhu.
Nilivyoona tu jina poppy nikaishiwa matarajio makubwa kutoka kwako!
Kifupi, chochote kinachofanyika kwenye chama cha siasa kina wahusu raia. Chochote kile! Michakato ya ovyo ikitumika watapatikana viongozi wa ovyo ovyo!
 
Back
Top Bottom