Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,286
- 13,460
hahahaaaaa! Hii dharau jaman
hahahaaaaa! Hii dharau jaman
Sio dharau bali ni hali halisi!
Kwanini tunaamka kipindi cha kampeni tu? Unakwenda shamba kuvuna wakati hukuwahi kulima, kupanda wala kupalilia hilo shamba..?
Kazi ya kuimarisha chama imesahaulika kabisa imebaki kazi ya kukimbiza posho...! hapo unategemea nini? Sasa 2015 ipo karibu mno! Kwa mtaji huu ni kuhesabu kipigo kikali kwa CDM..!
Sio dharau tunaanda wapiga kura wa 2020 hao na ndio Watanganyika Asiliahahahaaaaa! Hii dharau jaman
Kitu M4C
Hakuna cha ajabu hapo. Wananchi wa hapo wanaitikadi za kifalme na wamelishwa SUMU mbaya kwamba mbunge wa tayari ni Riz1 hivyo hawana haja yakuhudhuria mikutano ya wagombea wengine. Kwa hali nguvu yaziada inahitajika ili kuleta mabadiliko.
hahahha hivyo hivyooKweli M4C - Movie for Children
Lo!! ni ukweli huu au imefanyika photoshop? Hata zile 20% ya kura zitafika hapa? Watoto hawa wazazi wao wapo wapi.....!!?
Kweli M4C - Movie for Children