P Percival JF-Expert Member Joined Mar 23, 2010 Posts 4,014 Reaction score 3,110 Mar 27, 2014 #2 mti mkubwa
Rich Pol JF-Expert Member Joined Oct 11, 2013 Posts 7,880 Reaction score 5,725 Mar 27, 2014 #3 Sijaelewa ni shule ya chekechea?!
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,664 Mar 27, 2014 Thread starter #4 Rich Pol said: Sijaelewa ni shule ya chekechea?! Click to expand... Hapana mkuu. Hao ni wananchi waliojitokeza kwenye kampeni za Ubunge jimbo la chalinze.
Rich Pol said: Sijaelewa ni shule ya chekechea?! Click to expand... Hapana mkuu. Hao ni wananchi waliojitokeza kwenye kampeni za Ubunge jimbo la chalinze.
P phill JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 1,364 Reaction score 621 Mar 27, 2014 #5 Mbona watoto
Mndengereko JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 7,326 Reaction score 3,446 Mar 27, 2014 #6 Watz bwna hatupendi watu hawaendi kwenye mikutano wanaenda kupiga kura tu
Rich Pol JF-Expert Member Joined Oct 11, 2013 Posts 7,880 Reaction score 5,725 Mar 27, 2014 #7 Ndibalema said: Hapana mkuu. Hao ni wananchi waliojitokeza kwenye kampeni za Ubunge jimbo la chalinze. Click to expand... Kwa mtindo huu mpaka hawa watoto wakue wafike age 18 bila kubadirika itikadi zao ndiyo hiki chama kitashinda jimbo hili.
Ndibalema said: Hapana mkuu. Hao ni wananchi waliojitokeza kwenye kampeni za Ubunge jimbo la chalinze. Click to expand... Kwa mtindo huu mpaka hawa watoto wakue wafike age 18 bila kubadirika itikadi zao ndiyo hiki chama kitashinda jimbo hili.
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,236 Reaction score 26,770 Mar 27, 2014 #8 hawa watoto nao watapiga kura.........
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,231 Reaction score 15,645 Mar 27, 2014 #9 Kweli tight mkuu....hali tete.
ameline JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 2,292 Reaction score 1,152 Mar 27, 2014 #10 sasa hao watoto wanawaelewa kweli? mh kazi ipo..
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,664 Mar 27, 2014 Thread starter #11 Heaven on Earth said: hawa watoto nao watapiga kura......... Click to expand... ...mpaka daftrari liboreshwe.
Heaven on Earth said: hawa watoto nao watapiga kura......... Click to expand... ...mpaka daftrari liboreshwe.
K kovai tamil taiga JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 1,571 Reaction score 2,192 Mar 27, 2014 #12 Ndibalema said: Click to expand... Lo!! ni ukweli huu au imefanyika photoshop? Hata zile 20% ya kura zitafika hapa? Watoto hawa wazazi wao wapo wapi.....!!?
Ndibalema said: Click to expand... Lo!! ni ukweli huu au imefanyika photoshop? Hata zile 20% ya kura zitafika hapa? Watoto hawa wazazi wao wapo wapi.....!!?
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,841 Mar 27, 2014 #13 Duh kweli kazi wanayo yaziada
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,664 Mar 27, 2014 Thread starter #14 kovai tamil taiga said: Lo!! ni ukweli huu au imefanyika photoshop? Hata zile 20% ya kura zitafika hapa? Watoto hawa wazazi wao wapo wapi.....!!? Click to expand... Mkuu hakuna photoshop hapo, hilo jimbo ni gumu kwa CDM ndo mana mambo yamekuwa hivyo.
kovai tamil taiga said: Lo!! ni ukweli huu au imefanyika photoshop? Hata zile 20% ya kura zitafika hapa? Watoto hawa wazazi wao wapo wapi.....!!? Click to expand... Mkuu hakuna photoshop hapo, hilo jimbo ni gumu kwa CDM ndo mana mambo yamekuwa hivyo.
K kovai tamil taiga JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 1,571 Reaction score 2,192 Mar 28, 2014 #15 Sa kile kisingizio cha 'kura zimeibiwa' itakuaje.?Kwa umati huu wa chekechea itaaminika kweli..!? mmnh ..natafakari tu!!!
Sa kile kisingizio cha 'kura zimeibiwa' itakuaje.?Kwa umati huu wa chekechea itaaminika kweli..!? mmnh ..natafakari tu!!!
K kovai tamil taiga JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 1,571 Reaction score 2,192 Mar 28, 2014 #16 Halafu naendelea kutafakari!...Hivi kweli kuna haja ya kuingia gharama kuungurumisha Chopa hapo!!...kwa umati huu.?
Halafu naendelea kutafakari!...Hivi kweli kuna haja ya kuingia gharama kuungurumisha Chopa hapo!!...kwa umati huu.?
Humble African JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 4,781 Reaction score 14,442 Mar 28, 2014 #17 To hell with Chadema!
M magd lumola JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 218 Reaction score 17 Mar 28, 2014 #18 Cdm chaliiiiiiii cha mende
Vaislay JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 4,532 Reaction score 1,841 Mar 28, 2014 #19 Rich Pol said: Sijaelewa ni shule ya chekechea?! Click to expand... Kitu M4C
Kibwebwe JF-Expert Member Joined Jun 26, 2012 Posts 826 Reaction score 266 Mar 28, 2014 #20 anawauliza wazazi wapo wapi?