MWANASIASA HURU
Senior Member
- Oct 4, 2012
- 180
- 244
Boy and girl
super, ila take care of them. don't assume responsibilities.
Na kama huo ndio uzao wako wa kwanza, be very careful. Pia kuwa mwangalifu na hao kina mama, heshima yao na hisia zao tunza vizuri, vinginevyo pia inaweza kuwa mwanzo wa kuharibu maisha ya ndoa baadae.
Ahsante