Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,508
- 18,667
Mwaka mpya na mambo mapya.
Hii staili yako ya mwaka 2020 ni kiboko
Hii staili yako ya mwaka 2020 ni kiboko
Hiii Naona kwakweliMwaka mpya na mambo mapya.
Masikini bado mvulana hajui kilicho mbele yake! Ni MATESO hakuna mfano, singo mama mzoefu anacheza karata, bikra yeye ndo anaingia hii gemu akizinduka jamaa ataomba akafilie mbali. Fanya ufuska ila mtoto ni habari nyingine. Niishie hapoSingo mama kaongeza mtoto, bikra naye kawa singo mama! Wewe sasa una watoto wawili. Hongera sana, tulia lea watoto wako.
Happy New year
Atapambana na khali yake tuu, jukumu la kulea sio la kitoto!Masikini bado mvulana hajui kilicho mbele yake! Ni MATESO hakuna mfano, singo mama mzoefu anacheza karata, bikra yeye ndo anaingia hii gemu akizinduka jamaa ataomba akafilie mbali. Fanya ufuska ila mtoto ni habari nyingine. Niishie hapo
Usinikumbushe Mkuu, mtoto ni habari nyingine. Hata hutaki kuonana na mama yake, utajikuta mnaonana kwa sababu ya mtoto. Akienda shule ndo kivumbi na jasho. Ningekuwa na uwezo ningeliwakataza wavulana kuzaa ovyo maana mateso hayatamanikiAtapambana na khali yake tuu, jukumu la kulea sio la kitoto!
Hawawezi kukuelewa Mkuu! Acha wakutane nayo tuu!Usinikumbushe Mkuu, mtoto ni habari nyingine. Hata hutaki kuonana na mama yake, utajikuta mnaonana kwa sababu ya mtoto. Akienda shule ndo kivumbi na jasho. Ningekuwa na uwezo ningeliwakataza wavulana kuzaa ovyo maana mateso hayatamaniki
Ni kweliHawawezi kukuelewa Mkuu! Acha wakutane nayo tuu!
Dah kwa hiyo nkiwa mwanaume kichwa wazi akisimama siwezi kumcontrol?Hahaahhha aisee ngono wew acha tu huyu jamaa ukishasimamisha huna habar tena ngoja umalize uone malipo yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa mabikra mnawatoa wapi wakuu?mbona mi sina bahati nao kabisa?Singo mama kaongeza mtoto, bikra naye kawa singo mama! Wewe sasa una watoto wawili. Hongera sana, tulia lea watoto wako.
Happy New year
Wapo mkuuHawa mabikra mnawatoa wapi wakuu?mbona mi sina bahati nao kabisa?