Gyole
JF-Expert Member
- Sep 20, 2013
- 7,008
- 7,091
Unastahili kuachwa, ila pia unastahili kuhurumiwa, zidisha upendo tu atakuwa sawa taratibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app

Ha ha ha yaan umefanya nicheke na nipo kwa watu basi wanishangaa tu.Hatuna ushauri maamuzi ni yako, ngono ufanye mwenyewe hafu sisi tuwe washauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatuchosha tu yeye kafanya uzinzi wake, hakuomba ushauri hafu anataka tuwe washauri kwa mambo yake ambayo sisi hayatuhusu.Ha ha ha yaan umefanya nicheke na nipo kwa watu basi wanishangaa tu.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Mtoto wa watu ulimkuta bikira halafu ukaenda kulala na mtu ambaye hujawahi kutana naye? Humu ndani kila siku mnasema wanawake walivyowauaji, wabaya na matusi tele!
Huyo aliyekuwa bikira akikurudia nitamdharau! Wewe ni malaya wa kiume hivyo endelea kutafuta malaya wenzio.
Heri ya Mwaka Mpya wana- Mmu. Imenibidi nitafute ID mpya ili nijielezee vizuri mana original ni verified. Stori inaanza hivi:
Baada ya mizunguko ya hapa na pale kwenye mahusiano nikaja na wazo kwamba kama mtu sio mkeo it’s better to have backup plan, yaani plan B. Namaanisha nakuwa na mpenzi yule ambaye nahisi we have a future alafu pembeni kuna mwingine just in case..
Hii kitu haimaanishi kwamba sina mapenzi ya kweli, hapana (I have come a long way kufikia huu uamuzi). Ni baada ya kutemwa mara kama mbili hivi, tena nikiwa katika kipindi kigumu; stori za vijana wenzangu na kushuhudia usaliti wa viwango vya juu .
Sasa kilichonifanya nije humu ni kwamba mwaka 2017 nilimaliza chuo baada ya kupambana Dar pakashindikana ikabidi nikimbie mkoa. Mungu mkubwa sikukaa hata wiki nikafanya interview ya kwanza na nikapata kazi ambayo nilitakiwa nianze 2018 January. Mwaka huo huo 2017 mwishoni nikakutana na mrembo nimemzidi mwaka mmoja, hivyo 2018 kazi na mahusiano vikaanza pamoja (just like that).
Nimefanya kazi miezi kama saba hivi nikaamua kutafuta PC mpya (ile ya chuo nilimhonga Mcoet) nikaingia online nikapata ninachokita nikalipa wakaniambia wanaituma Bahati mbaya ilikuwa ni kipindi cha likizo kwahiyo mfanyakazi niliyokuw nawasiliana naye ikabidi aniletee mwenyewe (ninapofanyia kazi ni mkoa mmoja na kwao alivyodai).
Huku mahusiano yakiwa motomoto haswaa, nikagundua mpenzi wangu mawazo yake yapo kwenye kuolewa tu (I found her virgin). Sasa baada ya kuletewa bidhaa zangu nilizoagiza taratibu tukaanza mawasiliano na yule mdada wa marketing (single mother), to cut the story short, akaja (yule wa marketing) siku anakuja nikajikuta nimelala mpaka saa nane usiku nikashindwa kumpokea na hilo eneo yeye mgeni, akatafuta guest house akalala. Nastuka usiku wa manane missed calls 34nikagundua kabisaa this one is not in my mind at all.
Ikabidi ni apologize muda uleule. Katika kuomba msamaha nikajikuta natoka usiku naenda (shit happens), baada ya hapa na pale tuka-sex unprotected but after that I realized my mistake, kabidi nimwambie ukweli kwamba nina mtu na blah blah zote. Nashukuru Mungu akawa muelewa mama wa watu, akanipa sharti moja tu anaomba nimpe wiki mbili akacheki. Mahusiano na mpenzi yule original yaliendelea ila aliwahi kuhisi kwamba natoka na yule mdada wa marketing ( she’s good in spying).
Kilichonifanya nije hapa ni kwamba yule single mother alipata mimba (just once) na huyu niliye naye ana mimba. Ikabidi niseme ukweli kwamba I made mistake akajifanya kunisamehe ila kila kukicha ni maneno, lawama; mara nyingine anajaribu kulipa kisasi anashindwa (she’s too good) mwisho ameamua ku-break up. Kusema ukweli napata tabu sana, natamani ile theory ya time machine iwe halisi nirudi mpaka ile siku ili nisiamke.
Nimekuja kuona nampenda sana lakini siwezi kumrudisha hata akirudi siwezi kumsahaulisha na itaathiri kila kitu.
Naomba msaada wenu wa mawazo (single mother hapana nimejaribu kumpenda lakini naona we do not match kihisia) nachukuwa mawazo, matusi n.k
N.B sasa hivi wote wana watoto; single mother hana shida na mimi hata kidogo (huyu wa kwangu hanielewi hata nusu)
Shits happen brotherPole sana, na huyo dada nampa pole kwa sababu hujamcheat tu ila umeuza mechi daah magonjwa yote haya...!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikweli kwamba nafanya mapenzi na kila mtu haya mambo yametokea harakaharaka with great impact mkuuWw mtoa mada hivi ni lazma ufanye mapenzi na kila mwanamke???😠😠😠😠😠..ndo ujione ww ni mwanaume wa shoka?? huyo single maza cjui wa marketing, unadai hata hakuwa kwenye akili yako, it means hakukuvutia kingono, sasa ulifanya nae mapenzi wa nn?? usituchoshe bwana unafanya mabalaa yako huko ya kijinga, half unatuchosha humu eti tukupe ushauri
Mm mwenyewe dume la mbegu na urijali wangu, siwezi fanya mapenzi na kila mwanamke anaejileta..wala siwezi shobokea kila demu ninaemuona.. dude, have standards Nemean lion
Boy and girlI am so naive to advise on this, but i can remind you one thing, time heals, use the time wisely, it is the good master, a good doctor, a good reconciliator and to achieve its effect, your mind should always be in tranquil.
Hongera kwa kupata watoto wawili.
wana jinsia gani hao watoto? samahani kwa kuuliza.
Ameamua aondoke baada ya miezi ya majuto na lawama
Too rude but i can take it...Ndio maana wanawakata m.b.o.o kama alivyofanyiwa police huko Shinyanga na Da' Flora Adamu, shenzi zenu wanaume vitombi
Askari wa jeshi la polisi akatwa uume na mkewe mkoani ShinyangaToo rude but i can take it...
Sikuingia kichwa kichwa nilimpotezea kama 3 months ... mtoto ni mimi kabisa 98 percent ni kama ujianglie kwenye kioo... possible explanation ni kwamba alinitegeaNawasiwasi hapo kwa single mama mwamba umeuziwa msala hakuna watu makini kama hao na alishajua kaaribu maali
Sent using Jamii Forums mobile app