Chalii umepitia huko nini mwaka Gani vile ulitoroka kuwa mtumishi?
hapa wapi?
Yaani nimechekaje?
Bahati yangu sikukutana na bullying manake nilivyo mjeuri mbona ningewafukuzisha shule wababe wote. Nikichomoka tu hapo brek ya kwanza kwa mwalimu mkuu. Wangenunajeeee?
nakumbuka kuna dogo alikuwa bonge /njuka akawa anapiga mkwara eti babake kamanda wa polisi kinondoni kwa hakuna wa kumfanya kitu walimwagia urojo wa biogas usiku kama ndoo nane alivyoamka huo usiku hakurudi tena
Sasa ivi shule za Bord zimekuwa za lelemama!
sikuyaona udsm 2007
nilitinga bwenini frm 1 na godoro la sufi basi bweni zima wakanizunguka eti frm1 kaja na maiti hahaa dah sijui km haya mambo bd yapo!
Inaelekea na nyinyi mlikuwa na tabia ya kunea wenzenu shuleni.
Not Applicable to me ha ha.Lol. Bullying ya udsm ni kuchukuliwa demu wako na majMaa ya mtaani yenye magari kwi kwi kwi
second half ya 90's...mmh watumishi Ilboru mkuu!!, labda miaka ya nyuma kabla sijakuwepo hapo.
Hayo nimetaja (Rungwe na Oldonyo) ni majina ya mabweni huko ndio form 1 wengi walikuwa wanaswekwa.