enzi za form one boarding miaka hiyo ilikua ni mateso sana sitaki kurewind mkanda kabisa naweza lia machozi hapa kwa jinsi nilivyosota loh ukizingatia nilikuwa mdogo jumlisha utoto sina hamu.
enzi za form one boarding miaka hiyo ilikua ni mateso sana sitaki kurewind mkanda kabisa naweza lia machozi hapa kwa jinsi nilivyosota loh ukizingatia nilikuwa mdogo jumlisha utoto sina hamu.
Unapewa sh. Ishirini ukalete mkate, sigara paketi moja, kibiriti na chenchi urudishe!!!!!
Hahaha Rungwe au Oldonyo?
Nakumbuka enzi hzo kuna njuka alikuja kuanza form one,tulimpa tocha za kufa mtu mpaka tukamvunja mkono, kumbe hatukujua ni mtoto wa Mkuu wa wilaya ya Mtwara Mjini.
Unajua nini kilitokea....
Jibu unalo.
Nakumbuka kuna dogo alininyima maandazi nikampa azabu apige simu kwa wazazi wake kwenye shimo la choo kwa kuingiza kichwa.
sikuyaona udsm 2007Unamaanisha hayo mambo hayakuwaga Dom?
Naamini kila pande ya hii nchi haya mambo yalikuwepo ila kwasasa yamepungua kama sio kuisha kabisa.
Utafanyaje sasa!!! Ndo wababe wameshaamua.
ngoja nikurudishe nyumaenzi za form one boarding miaka hiyo ilikua ni mateso sana sitaki kurewind mkanda kabisa naweza lia machozi hapa kwa jinsi nilivyosota loh ukizingatia nilikuwa mdogo jumlisha utoto sina hamu.
Uliwahi lala godoro limemwagiwa maji kisha likatandikwa vixuri?