Mambo yakutesana unapo join form1 bweni

enzi za form one boarding miaka hiyo ilikua ni mateso sana sitaki kurewind mkanda kabisa naweza lia machozi hapa kwa jinsi nilivyosota loh ukizingatia nilikuwa mdogo jumlisha utoto sina hamu.
 


Uelekeo anaoelekea huyo mwanafunzi ndipo lilipokuwepo class langu la Form I A...
Huo uwanja ingawa ulikuwa ni wa parade, lakini ulikuwa ndio class Area yangu wakati fulani...
Halafu ukileta za kuleta, mwalimu mmoja alikuwa anaitwa Losujack Ole Ngavuti a.k.a Chifu, atakugaragaza hapo uwanjani...
 
<-- perpertual day scholar. sikuziona dorm hadi nilipofika UDSM
 
nilitinga bwenini frm 1 na godoro la sufi basi bweni zima wakanizunguka eti frm1 kaja na maiti hahaa dah sijui km haya mambo bd yapo!

Ulikua unadumisha mila au?
 
hapa wapi?
 
jamani wote mtasema ila mwanafuzi yyte aliyesoma Karatu sec enzi za mkuu wa shule WILLIAM MKANGWA nampa shkamoo. k
 
Ulikua unadumisha mila au?

We Dingi alikuwa noma balaa yaani alinipeleka mwenyewe halafu akaniachia tsh 200 pocket money yaani km mtu akupe shs alfu mbili leo hii ndo pocket money. Nikamwambia haitoshi akasema si unakula bure! Khaa kweli nilikonda mno term ya kwanza sikumaliza nikahama shule!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…