trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 736
pamoja mkuu!mwanaume huwezi ruhusu ujinga kama huo!yaani hii iko very close to murder case!dk 2 tu unatoa mtu roho!
Kama uanaume ni kukubali kujionyesha kabisa umeshindwa kuhimili pressure iliyokusudiwa... Nadhani unahitaji msaada wa kisaikolojia..
Na huyo X atacheka kwa dharau pia..
Sema,kwa kuwa ujinga kautaka huyo X,hapo wajanja ni kumtonya M/kiti awe aware huyo ni nani,na kwa busara zake anaweza kumhandle huyo X..
Kwa mfano,anaweza akamuembarass kwa kumwambia aongeze hata Mil 5 zaidi kama kweli ameletwa kwenye kikao hicho kwa dhamira ya kuchangia basi aongeze kiasi hicho...
Au,kuandaa mazingira,kumwambia tu kwamba yeye kama ameamua kuwa mjumbe kwenye kamati basi aheshimu kiti cha M/kiti,kwa hiyo kauli ya kusema anamalizia kiwango kilichobaki kina chembe ya unafiki na anaambiwa kwa mila za kabila la bwana harusi mtu wa aina hiyo hupigwa faini ambayo kiongozi wa ukoo hukadiria au anaweza kumwachia jukumu hilo M/kiti...
Hapo mnamtoza twice the amount au thrice kama hajajikojolea huyo jamaa...