Mambo ya X

Swala ni kuchangia mkuu,kuna wengine hawachangii hata sumni na wanamla huyu mchumba wako mtarajiwa!
Kweli kabisa King, bora huyo aliyejitokeza na mchango wake, tena usikute wakati upo kwenye kikao unaumiza kichwa mchumba nae anaserebuka na lijamaa lingine na halitakaa likupe mchango wake!

Kutoa mchango haimaanishi kama ukipokea ataenda kumrudia huyo wife to be, kurudiana au kutorudiana bado kupo mikononi mwa huyo mchumba! Ndio mana mimi nasisitza jamaa kama anajiamini na anamwamini huyo mchumba ake apokee, tena kwa kiburi ili kama mtoaji anafanya dharau ajione yeye ndie mjinga!
 
Ndani ya ndoa kuna siri nzito sana usione unapata wafadhili ukanenua meno ukaona umepata watu wema ukiona kilicho nyuma ya pazia unaweza usifunge hiyo ndoa unakuta mbaba anajitoa kweli kweli kumbe anapumzika kwa b harusi mtarajiwa na kwa kina mama hivyo hivyo anagaramia kila kitu kumbe kijana anamtafuna mama huu ufisadi cjui utaisha lini.

kabla sijawa member hapa nilikuwa naona watu wanalalamika kakidude ka like kamepotea!kumbe kweli nakatafuta sikaoni!
 
sweetlady?umeolewa?jibu swali la nyongeza nililouliza!au niliweke kwa upande wako ili upate hisia zake!x wa mmeo mtarajiwa kajitolea kumnunulia suti ya harusi mmeo mtarajiwa na honeymoney atawapeleka kwa gharama zake!UTAKUBALI UACHIWE KUMBUKUMBU YA AINA HIYO FOR THE REST OF YOUR LIFE?fikiri kabla ya kujibu
Kumnunulia suti hapana, kutupeleka honey moon pia hapana, atoe mchango huko kwenye kamati inatosha!
 
Kwa kiswahili chepesi hapo kwenye red ni kuchuguliana yaani ajue leo tunaenda wapi kujipumzisha hiyo hapana.

Mie alinipa mchango ila niliutumia kwa mambo yangu mengine, sikumwambia husb manake haimuhusu kwanza hawakuwahi kufahamiana! Yeye pia alipooa nilimpa mchango wangu na aliupokea!

ook ngoja nifikishe taarifa kwa brada nafikiri hajapita hapa
 
sweetlady!cant you see?hapo kakuchangia au "kakuolea"?
Kama wameachana kikweli kweli wewe una wasi wasi gani? Pokea, kamwambie na mchumba mtarajiwa kuwa jamaa katoa mchango kiasi fulani, je ukiacha kupokea unajuaje hatamtafuta huyo X wake afu ampe kama zawadi ya harusi! Humwamini huyo mchumba au? Labda hana nia mbaya je?.
 
mkuu King Kong!utamwambia mtarajiwa wako kwamba jamaa katoa hiyo kiasi?mara 2 yako?nani kaoa sasa wewe au jamaa?

Well sio shabiki sana wa hizi sherehe..............lakini ndoa sio sherehe ya harusi? Yeye kufinance sherehe yako iwe kwa kujionyesha ama kwa nia njema haimaanishai yeye ndio muoaji............kuanza kuogopa ama kumwogopan kumjali ndio kushindwa kwako!

Hebu tulia na ule zako zabibu bana!
 
Kumnunulia suti hapana, kutupeleka honey moon pia hapana, atoe mchango huko kwenye kamati inatosha!

kwanini hapana?onyesha kwamba unajiamini bana!ok well,nadhani umeona hapa kuonyesha unajiamini its not an issue!shida ni kumbukumbu mbaya utakayoachiwa once you accept!na kwa jinsi gani unaweza kumpa nafasi ya kuongea huko mbeleni huyo x!am glad now you feel it baada ya kukupa huo mfano!
 
ook ngoja nifikishe taarifa kwa brada nafikiri hajapita hapa
Wifi angalia usije ukasutwa manake hapa namzungumzia klorokwini ndie alienipa mchango wakati naolewa na kakako, na kakako nilishamsimulia kitambo hivyo umechelewa sana, hivi unataka kunivunjia ndoa au?..
 
Well sio shabiki sana wa hizi sherehe..............lakini ndoa sio sherehe ya harusi? Yeye kufinance sherehe yako iwe kwa kujionyesha ama kwa nia njema haimaanishai yeye ndio muoaji............kuanza kuogopa ama kumwogopan kumjali ndio kushindwa kwako!

Hebu tulia na ule zako zabibu bana!

ayaaaaa!yani kaka hiyo ndio nafasi yako ya kuonyesha kuwa wewe ni MASIKINI JEURI unaiachia?
 
kwanini hapana?onyesha kwamba unajiamini bana!ok well,nadhani umeona hapa kuonyesha unajiamini its not an issue!shida ni kumbukumbu mbaya utakayoachiwa once you accept!na kwa jinsi gani unaweza kumpa nafasi ya kuongea huko mbeleni huyo x!am glad now you feel it baada ya kukupa huo mfano!
Hahaha! Wewe bana, kama vipi chukua hizo hela uje unipe mimi lol (joke)
 
Mwanaume anaejiamini wala hakatai huo mchango...shida iko wapi?? atakuolea vipi wakati mzigo utakula wewe eeeh?? tena for the rest of ur life..yeye anaamua kujitia hasara si maamuzi yake...!!!
 
kwanza haina shombo wala ukpkp mzigo ni wangu na mm ndo mla leo ye kala jana ana nini?
 
Back
Top Bottom