Mambo ya Wachagga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo ya Wachagga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by killo, Apr 16, 2010.

 1. killo

  killo JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 393
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  All Rights remain to Alex Marwa's Photos (Faceboook.com)

  [​IMG]

  Mambo ya Wachaga kubana matumizi : dereva, bi harusi, bwana harusi na best man ( pic courtesy of Imma Mbuguni)
   
 2. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mie sitii neno ni shemeji zangu wasije wakaninyan'ganya mke buree
   
 3. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mbon hivyo!! wachagga wachagga tokea jana! lakini mkumbuke ndio wanaleta maendeleo katika nchi hii...au nawakilisha...mi sio mchagga....
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hapa si pa kusema kitu bana...wako wengi hao, kama jeshi la manyigu!

  Lakini ninachojiuliza, MSIMAMIZI wa bi harusi yuko wapi, na yeye atasafirije kuwatafuta wenzie?
   
 5. Fredwash

  Fredwash JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2010
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 593
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Sio swala la kubana matumizi... hatupendi mashikolo mageni yenu... ambayo kwa kiasi flani hayana umuhimu... na hasa kutokana na utashi wa mtu... in fact nimependa kwani mtu anajikuna anapofikia... yanini ufanye harusi ya milioni 10 wakati ikiisha unakwenda kukaaa kwenye chumba cha elfu 30 kwa mwezi...
   
 6. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mbona mnatuandama jamani hivyo tukibuni mnatuita wabairi ila ss tunaona ni fasheni sio kila jambo lifanywe kwa mtindo ule ule miaka nenda miaka rudi only thing is permanent is change ila ninachowapendea mnatuiga sana tukishabuni
   
 7. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hiyo staili mpya msimamizi ni mmoja tu mkuu tehe tehe tehe
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,009
  Likes Received: 23,720
  Trophy Points: 280
  Sasa inatosha.
  Mnatuonea sana jamani
  Jamani jamani jamani........
   
 9. M

  Mkorintho JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2010
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 353
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Teh teh, so ubunifu unainclude mpaka shughuli kushuhudiwa na shahidi m1 , yaani wa kiumeni tu, huh!!
   
 10. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  bora na ww umesema mkuu its toomuch now wabadilishe cd sasa mbona makabila yapo mengi
   
 11. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hapo wanakwenda ukumbini na mpiga picha akupiga ya mashaidi wote kwani hapo wapo kwenye usafiri
   
 12. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Anatembea kwa mguu ....kina nanihii hawa ndo maana wengine wanakula ugali na picha ya samaki..hiyo milima ya upareni kabisa
   
 13. killo

  killo JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 393
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Msema kweli mpenzi wa mungu.....:)
   
 14. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mngesema ni wapare sawa...wachagga nawajua hawana ubahili huo, nafikiri mtoa uzi hata wewe unawaelewa ni basi tu umeamua....FYI wachagga wili rimeini tu bi wachagga....teh teh teh teh
   
 15. killo

  killo JF-Expert Member

  #15
  Apr 16, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 393
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Msema kweli mpenzi wa mungu ..... :)
   
 16. killo

  killo JF-Expert Member

  #16
  Apr 16, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 393
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Hapo juu bolded naona wewe ni wa mwanza
   
 17. killo

  killo JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 393
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Hapa sasa mi sisemi kitu............. :-?

  [​IMG]

  tete upo?
   
 18. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  sema ww FL nikisemamimi watasema mchaga
   
 19. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #19
  Apr 16, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  yani mbwa anapiga mihayo du cjawai kuona huyo wa katikati msanii huyo lazima anawadanganya wenzake sana yani analaptop katikati ya
   
 20. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #20
  Apr 16, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu ukweli gani wachaga atuna ubahiri huo labda unawatania watani zetu indirect
   
Loading...