donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
.
Naomba Ongezea Nyama Kidogo HapaUnakula fruits na dagaa?
Mkuu fruits should be eaten in empty stomach kwasababu matunda yanatumia enzymes tofauti kudigest chakula.
Kama nilivyosema fruits use different enzymes to digest. Ukila fruits na mchanganyiko wa vyakula vingine hautapata nutrients toka kwenye matunda kwasababu hakutokuwa na digestion nzuri.Naomba Ongezea Nyama Kidogo Hapa
Shukran mkuu kwa elimuUnakula fruits na dagaa?
Mkuu fruits should be eaten in empty stomach kwasababu matunda yanatumia enzymes tofauti kudigest chakula.
Sawa mkuu najua unapenda msosi. Nimeona unapost picha za vyakula mara kwa mara.Shukran mkuu kwa elimu
Nimekusoma mkuuSawa mkuu najua unapenda msosi. Nimeona unapost picha za vyakula mara kwa mara.
Binafsi napenda msosi. Lakini huo msosi usiwe nyama au diary products.
Kama nilivyosema fruits use different enzymes to digest. Ukila fruits na mchanganyiko wa vyakula vingine hautapata nutrients toka kwenye matunda kwasababu hakutokuwa na digestion nzuri.
Kula matunda yako muda kabla ya main course. Usichanganye matunda na vyakula vingine
Half an hour before or after mealUnakula fruits na dagaa?
Mkuu fruits should be eaten in empty stomach kwasababu matunda yanatumia enzymes tofauti kudigest chakula.
Kinyume ndiyo kweliDuh!
Haya masharti ukiyafuata utaishi maisha magumu sana!
Sawa kabisa.Half an hour before or after meal
Daah,unanikumbusha mbali kidogo.
Mkuu uono unaweza ukakufanya umalize hata ugali kilo tatuDaah,unanikumbusha mbali kidogo.
Ukiupata uono,ugali mlima,maharage na maji ya kunywa lita 3. Acha kabisa hao viumbe habari zake nzito.
Kinyume ndiyo kweli
Ukiyafuata hata ndiyo utaishi maisha rahisi.
Wewe unaona ni ngumu kwasababu unaongozwa na mazoea
Waswahili wanasema.....tembea ujue sio mama yako tu anayeweza andaa chakula kitamu.
Jifunze leo. Usile kwamazoea tu.