Mambo ya ufukweni weekend!

Duh!
Hii sio salama aisee! Kama kuna life guard angemkatalia, hiyo kanzu inaweza kumkamatia chini kwenye maji akafa bure!
 
Aisee... Sasa si amechanganya mambo? When she gets out nguo yake ya silk itabanaaaa, drips of water running down from it, hapo si atawataamanisha hao mujahidins?
 
Aisee... Sasa si amechanganya mambo? When she gets out nguo yake ya silk itabanaaaa, drips of water running down from it, hapo si atawataamanisha hao mujahidins?

Awatamanishe vp? huoni jamaa anapapasa kitu ndani ya maji,angalia mikono ya njemba hilo, c ajabu alikula mzigo majini humohumo
 
Kweli dunia kamwe haitoishiwa na vituko
 
Jamaa 'ananawa' INSIDE huyo, mwone alivyo bize hadi demu kapagawa anarusha mikono ovyo.
 
Huyo jamaa si angeweka swimming pool kwake kumlinda mkewe?! Daah mbona kujitesa huko.. nikab na baibui ndani ya maji aaah aaah hell NO!
 
kuogelea au kuendesha gari ndani ya nikab/burka ni hatari kwa mhusika na jamii.


















​
 
Ivi wanadhani starehe ni kwenda beach tuu!
Sasa mtu umejijaladia mwili mzima kwa bahari.
Mimi nilidhani ni wale divers toka SA kwa ajili ya kurescue wahanga wa meli ya Spice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…