I think hii ni 'photo shop'....Hao cheerleaders wameongezewa kwenye hiyo picha. Ukicheck hap ni Becks tu anyewaangalia, wengine wote wako busy na mambo mengine...which is unlikely! Cheerleaders wanapokuwa wanaperform wakati wa breaks/timeouts...almost..the whole crowd watch them!
''wanaume tumeumbwa.........mateso.....mateso.......kuhangaika!!''....................sasa kama hapo,baba brooklyn hata kufurahi tu kwa macho hawezi,dadeki!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.