Mambo ya tennis hayo

Wingu

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,318
401
JHXsuoAAAAASUVORK5CYII=
View attachment 68103
 
Photo shop.

No Sio photo shop Likwanda, huyu ni Serena Williams na ilikuwa kwenye Australian Open ya mwaka jana au mwaka juzi! mwenye alijieleza kwamba ni special body suit inayo fanana na ngozi yake! nakumbuka ilitokwa kwenye yahoo kwa tittle isemayo "S. Williams moons the spectators" or something like that!
 

Huyu ni Venus Williams Tennis Star wa Marekani ambaye kwa sasa kiwango kimeshuka tokana na umri kuvuka 32 ni dada ya Serena Williams ambaye anatesa kuchukua mataji ya Tennis duniani kwa siku hizi.

Hapa amevaa mvao wa kawaida katika mchezo huo, ana chupi na nguo fupi juu yake ili aweze kuhimili vizuri misukosuko ya huku na kule katika kujudu mchezo. Kama mvao huo usingekuwa rasmi kwa vyo vyote chama cha mchezo huu kingepiga marufuku.

Wengine tunapokuwa tumezama kuangalia game uwanjani linavyotuvutia wengine kama mleta mada amezama kwenye jiografia ya maungo ya mchezaji ndio burudani yake inayompleka uwanjani?
 
humu kuna watu wanageuza kila kitu photo shop ila kwa sasa akili zao ndio photo shop,huyo venus aliwahi kuingia uwanjani bila hata kufuli huyo.mtakuja kuwaita ndugu zenu photoshop.
 
Mkuu mijitu siku hizi imekua na akili ya photoshop tu kila kitu ni kukimbilia kusema hivyo.
humu kuna watu wanageuza kila kitu photo shop ila kwa sasa akili zao ndio photo shop,huyo venus aliwahi kuingia uwanjani bila hata kufuli huyo.mtakuja kuwaita ndugu zenu photoshop.
 
Back
Top Bottom