englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Udena unanitoka kwa hawa Wadudu Pweza ahhhhhh wanaongeza nguvu za kiume hawa................
Una Aleji na Pweza wewe?Nina aleji
Una Aleji na Pweza wewe?
pole kwa kukosa utamu.Nina aleji
nimeimiss sana hii kitu kwa kweli Pwani oyee.
Nalog off
ha ha ha halafu wewe unapenda kunitamanisha ahhhh jamaniii!!!Hahaa hapo hunitoi hapo... mimi49 mambo yetu haya..
ha ha ha halafu wewe unapenda kunitamanisha ahhhh jamaniii!!!
Haya bana ngoja nikatafute kiporo nile!!Si mekwitavuje japo kwa kuon lol
Haya bana ngoja nikatafute kiporo nile!!