Du!
Hii familia vipi?
Wanapata sembe huku wanakula nyuz!...Bad table-manners!
Naangalia picha sielewi kama hapo ni Sitting room, Library au Dinning room!
Na nimeipemda zaidi...inaonyesha Mama Obama ndio ailikuwa jikoni akitayarisha msosi..ndio maana anaonekana yuko very simple. Yaani hapa hakuna cha hauzi geli wala nini bila shaka.
Ni kweli MR ila pia in case wataona aibu kutoa nje tv, itabidi iwepo ratiba rasmi. Kwamba leo ni zamu ya mke no 1, 2,3, 4 na kuendelea then nyumba ndogo ya 1, 2, 3,4 na kundelea mpaka awamu iishe I'm sure kila familia watakuwa wamepata nafasi japo mara moja.