mambo ya OBAMA

mambo ya OBAMA

Du!
Hii familia vipi?
Wanapata sembe huku wanakula nyuz!...Bad table-manners!
Naangalia picha sielewi kama hapo ni Sitting room, Library au Dinning room!
 
Jacob-Zuma-and-Jakaya-Kikwete.jpg
 
Hiyo imetulia tu. wenzetu huwa hawa-complicate life kama sisi!
 
mimi nimependa staili yao ya kupata menu maana ndo African staili, mnapiga stori na menu inaendelea
 
mimi nimependa staili yao ya kupata menu maana ndo African staili, mnapiga stori na menu inaendelea
 
Huyo aliyepiga picha nae alijifichia wapi au alikaa pozi la wizi akachukua shot ya faster!
 
Hiyo imekaa Kama study/ofisi... Naona bakuli limejaa salsa na sijui guacamole.
 
Wakwetu anajaza nyumba nzima kwa idadi ya watoto itabidi tv iwekwe nje ili watoshe :grouphug:

Ni kweli MR ila pia in case wataona aibu kutoa nje tv, itabidi iwepo ratiba rasmi. Kwamba leo ni zamu ya mke no 1, 2,3, 4 na kuendelea then nyumba ndogo ya 1, 2, 3,4 na kundelea mpaka awamu iishe I'm sure kila familia watakuwa wamepata nafasi japo mara moja.
 
Back
Top Bottom