donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Nshomile, hapa kuna nini?
[emoji39][emoji39][emoji39]nyamaa
Halafu baada ya miaka kadhaa ijayo utaanza kutafuta mchawi aliyefanya upate heart attack.
Khaaaa!Daaah.. ijumaa ifike haraka niende kwa mangi pal nikale mdudu
tena mie mkatoliki kabisa mkuu. huyu kwetu ni mbuzi sieKhaaaa!
Maisha yangu yooote najua wewe ostadhat.....
Kumbe ni mwanachama wa kilo 10 na ndizi 60?
Hahahaha aisee.tena mie mkatoliki kabisa mkuu. huyu kwetu ni mbuzi sie
Kama nakuona unavyomeza mate kwa uchu uliotukuka.[emoji39][emoji39][emoji39]nyamaa
Huu mkono mbona mlaini sana,ni wa mwanaume kweli?
Huu mkono mbona mlaini sana,ni wa mwanaume kweli?
Mweeeh! Sawa rafikiNyama siyo chakula,jifunze kula vyakula sahihi visivyokuwa na madhara kwa mwili wako for your survival!
Yani acha tu mkuu[emoji53][emoji53]Kama nakuona unavyomeza mate kwa uchu uliotukuka.
Hapo na jua lilivyokali unavuta picha jinsi bia ya baridi itakavyo tiririka kooni... Loh.
Ngoja nikumbuke...Ww unapenda wanaume wagumu?