Sa unacho ongelea anga gani wewe, mbona watu tulisha kukimbia zamani au unataka tukuchambuwe kila kitu mpaa watu wakujue wewe nani.....We naona unafananisha Jua na mwezi hapa :biggrin1:Please do not cross katika anga zangu, I think you have tried many times. Nimeshakwambia stay away from me!
Sa unacho ongelea anga gani wewe, mbona watu tulisha kukimbia zamani au unataka tukuchambuwe kila kitu mpaa watu wakujue wewe nani.....We naona unafananisha Jua na mwezi hapa :biggrin1:
Naogopa dhambi tu, kama sivyo ningeisha kukupakazia tu...Lakini ukiendelea salma nakupakazia.chambua kama kweli mwanaume
mkuu acha wivu wakipumbavu huo, akicheat tu utamkamata wa subiri!habari wanajamii
mwenzenu naleta hoja hii. Inanihusu mimi mwenyewe na simzungumzii mtu mwingine kama ilinavyofanywa na wengine.
Nina mke na watoto, kwa muda mrefu tuliishi vizuri japo mikorogano midogo midogo haikukosa. Lakini mwaka huu mwenzangu kabadilika sana na nimeingiwa na hisia kuwa huenda kuna mahali mama watoto ana-cheat.
Kwa kawaida tukishaoga usiku asubuhi yake huwa haogi mwili mzima lakini usiku wa juzi kwanza alijifanyia usafi akafyeka nywele zake kila mahali zilipo ukiondoa za kichwani (nadhani naeleweka). Jana kaamka saa 10.00 alfajili akaenda nje kuchemsha maji ili aoge (hii siyo kawaida yake).
Mimi nilibaki ndani kwa muda lakini alipoingia ndani akakuta najiandaa kutoka nje akasema nibaki ndani kwanza yeye atakuja kunistua muda mwafaka ukifika - huenda alitaka aoge na kujufuta maji mwilini huko huko nje bila mimi kujua. Alioga hivyo hivyo na kujipuliza pafyumu nzuri nzuri, kajivika cheni za dhahabu, lipstick, nk tofauti na nilivyomzoea. Kama kawaida tuliongozana kwenda kazini japo hatufanyi kazi sehemu moja.
Jana jioni au tuseme usiku kuna shughuli nilikuwa naifanya nje, akaja kuniuliza eti nafanya nini kwa kuwa yeye alitaka kulala, hapo chakula cha usiku (dinner) hakijaliwa bado. Lakini nilipoenda dinning yeye alikuwa anahangaika na simu yake tu.
Wazoefu wa mambo haya mnijuze tafadhalini. Je kwa mazingira hayo yawezekana tayari kuna mahali amepata 3rd party?
Kila mara mwenyewe hudai kuwa yeye ni msafi sana na kwamba kama ni kucheat labda itakuwa mimi ndiye namcheat na siyo yeye, lakini nyendo zake zinatia walakini.
Nadhani wengi tunaongea kutokea DSM. Kwa maeneo ya baridi hili suala la kuoga (hasa kwa watu wa maisha ya kawaida au chini), huwa ni tete sana..si wanaume si wanawake!
Rafiki, usafi ni tabia! Mie ninmekulia sehemu za baridi lakini kuoga asubuhi na jioni ilikuwa lazima. Nimeshaoga maji ya baridi saa kumi za alfajiri nikiwa Moshi, Lushoto, Mbeya, na Arusha manake hupenda kuanza safari alfajiri. Nimejiwekea akilini siwezi kuamka kitandani nikatoka bila kuoga mwili mzima! Seuze mwanamke alieolewa kabisa, mweh!
NDIYO! Imagine mtu anayeamka saa 11 asubuhi kwenda shamba kulima....ataoga ili iweje? Sidhani kama umeishi maeneo haya tunayoyazungumzia na aina ya watu tunaowazungumzia...kwa sababu hili lipo wazi sana! Hayo maji yenyewe ni shida.kwa hiyo wenye hali ya chini (sehemu zenye baridi) wengi wao hawaogi asubuhi? .....
nimecheka leo hadi basi ahahaaaa asubuhi watu wanaswaki tu kwisha!Rafiki, usafi ni tabia! Mie ninmekulia sehemu za baridi lakini kuoga asubuhi na jioni ilikuwa lazima. Nimeshaoga maji ya baridi saa kumi za alfajiri nikiwa Moshi, Lushoto, Mbeya, na Arusha manake hupenda kuanza safari alfajiri. Nimejiwekea akilini siwezi kuamka kitandani nikatoka bila kuoga mwili mzima! Seuze mwanamke alieolewa kabisa, mweh!
Wapo wachache sana wa aina yako au yangu (siogopi maji ya baridi!). Ni vema umetaja maeneo hayo ambayo kwa bahati na mimi pia nimewahi kupita/ishi na ningeongeza na njombe,makambako, mufindi/mgololo kule, ifunda na hata iringa na kwa watani zangu kule pare. Kwa maeneo hayo ni nadra sana kwa watu kuoga mara mbili kwa siku (I would bet not more that 20% would take bath twice per day!). Naturally, wengi hawapo confortabe kuoga maji ya baridi na hivyo hupendelea kuchemsha kwanza au kuoga mchana (kama kuna jua).
nimecheka leo hadi basi ahahaaaa asubuhi watu wanaswaki tu kwisha!
NDIYO! Imagine mtu anayeamka saa 11 asubuhi kwenda shamba kulima....ataoga ili iweje? Sidhani kama umeishi maeneo haya tunayoyazungumzia na aina ya watu tunaowazungumzia...kwa sababu hili lipo wazi sana! Hayo maji yenyewe ni shida.
Hata hivyo ni kweli usafi ni tabia.....hili silikatai asilani, pengine ninachosema hiyo definition ya usafi (au mtu msafi) pengine inatofautiana sana kutegemeana na mazingira pia.
Habari wanajamii
Mwenzenu naleta hoja hii. Inanihusu mimi mwenyewe na simzungumzii mtu mwingine kama ilinavyofanywa na wengine.
Nina mke na watoto, kwa muda mrefu tuliishi vizuri japo mikorogano midogo midogo haikukosa. Lakini mwaka huu mwenzangu kabadilika sana na nimeingiwa na hisia kuwa huenda kuna mahali mama watoto ana-cheat.
Kwa kawaida tukishaoga usiku asubuhi yake huwa haogi mwili mzima lakini usiku wa juzi kwanza alijifanyia usafi akafyeka NYWELE ZAKE kila mahali zilipo ukiondoa za kichwani (NADHANI NAELEWEKA). Jana kaamka saa 10.00 alfajili akaenda nje kuchemsha maji ili aoge (hii siyo kawaida yake).
Mimi nilibaki ndani kwa muda lakini alipoingia ndani akakuta najiandaa kutoka nje akasema nibaki ndani kwanza yeye atakuja kunistua muda mwafaka ukifika - huenda alitaka aoge na kujufuta maji mwilini huko huko nje bila mimi kujua. Alioga hivyo hivyo na kujipuliza pafyumu nzuri nzuri, kajivika cheni za dhahabu, lipstick, nk tofauti na nilivyomzoea. Kama kawaida tuliongozana kwenda kazini japo hatufanyi kazi sehemu moja.
Jana jioni au tuseme usiku kuna shughuli nilikuwa naifanya nje, akaja kuniuliza eti nafanya nini kwa kuwa yeye alitaka kulala, hapo chakula cha usiku (dinner) hakijaliwa bado. Lakini nilipoenda dinning yeye alikuwa anahangaika na simu yake tu.
Wazoefu wa mambo haya mnijuze tafadhalini. Je kwa mazingira hayo yawezekana tayari kuna mahali amepata 3rd party?
KILA MARA MWENYEWE HUDAI KUWA YEYE NI MSAFI SANA NA KWAMBA KAMA NI KUCHEAT LABDA ITAKUWA MIMI NDIYE NAMCHEAT NA SIYO YEYE, LAKINI NYENDO ZAKE ZINATIA WALAKINI.

Naogopa dhambi tu, kama sivyo ningeisha kukupakazia tu...Lakini ukiendelea salma nakupakazia.
Angalau sasa tunakubaliana kuwa mazingira yanaweza kubadili formula ya kuoga. Lengo langu lilikuwa ni kuondoa 'sweeping generalization' kwenye baadhi ya hoja zilizotolewa na wachangiaji.Wewe case unayoongelea ni tafauti kabisa na hichi tusemacho hapa. Jamaa anaamka na mkewe, wanapiga passport na wanaenda zao kazini (sio shambani). Na jioni wakirudi wanaoga pamoja. Hata wa mjini kuna siku tunaamkia buibui, kuosha madirisha, gardening, kubadili mapazia ama ku-rearrange nyumba. ...