Mambo ya ndoa: Yawezekana naibiwa?

Mambo ya ndoa: Yawezekana naibiwa?

Please do not cross katika anga zangu, I think you have tried many times. Nimeshakwambia stay away from me!
Sa unacho ongelea anga gani wewe, mbona watu tulisha kukimbia zamani au unataka tukuchambuwe kila kitu mpaa watu wakujue wewe nani.....We naona unafananisha Jua na mwezi hapa :biggrin1:
 
chambua kama kweli mwanaume
 
Mtu akiamua kucheat uwezi kumzuia, cha msingi, tafuta njia nzuri ya kumridhisha kitandani. hadi adate , asipo kuona. ila kama unapiga rasharasha, usitegemee kitu kikubwa.
 
bro majibu ya maswali yako yapo huko juu yanajitosheleza sana, minilitaka kukupa ushauri mmoja nje ya swali lako, bro jitahidi uoge asubuhi, anapochemsha ya kwake achemshe na yakwako. Muige mkeo. Ukioga asubuhi unaanza siku ukiwa freshi na mwenye kujiamini.
 
ilishawah kunikuta....nilichokifanya ni kumpitia ofisin that dei ili nirudi nae home.......!!
But sometimes ni usafi tu.. ingawaje kuwa makini na mienendo ya wenza inahusika sana...
 
habari wanajamii

mwenzenu naleta hoja hii. Inanihusu mimi mwenyewe na simzungumzii mtu mwingine kama ilinavyofanywa na wengine.

Nina mke na watoto, kwa muda mrefu tuliishi vizuri japo mikorogano midogo midogo haikukosa. Lakini mwaka huu mwenzangu kabadilika sana na nimeingiwa na hisia kuwa huenda kuna mahali mama watoto ana-cheat.

Kwa kawaida tukishaoga usiku asubuhi yake huwa haogi mwili mzima lakini usiku wa juzi kwanza alijifanyia usafi akafyeka nywele zake kila mahali zilipo ukiondoa za kichwani (nadhani naeleweka). Jana kaamka saa 10.00 alfajili akaenda nje kuchemsha maji ili aoge (hii siyo kawaida yake).

Mimi nilibaki ndani kwa muda lakini alipoingia ndani akakuta najiandaa kutoka nje akasema nibaki ndani kwanza yeye atakuja kunistua muda mwafaka ukifika - huenda alitaka aoge na kujufuta maji mwilini huko huko nje bila mimi kujua. Alioga hivyo hivyo na kujipuliza pafyumu nzuri nzuri, kajivika cheni za dhahabu, lipstick, nk tofauti na nilivyomzoea. Kama kawaida tuliongozana kwenda kazini japo hatufanyi kazi sehemu moja.

Jana jioni au tuseme usiku kuna shughuli nilikuwa naifanya nje, akaja kuniuliza eti nafanya nini kwa kuwa yeye alitaka kulala, hapo chakula cha usiku (dinner) hakijaliwa bado. Lakini nilipoenda dinning yeye alikuwa anahangaika na simu yake tu.

Wazoefu wa mambo haya mnijuze tafadhalini. Je kwa mazingira hayo yawezekana tayari kuna mahali amepata 3rd party?

Kila mara mwenyewe hudai kuwa yeye ni msafi sana na kwamba kama ni kucheat labda itakuwa mimi ndiye namcheat na siyo yeye, lakini nyendo zake zinatia walakini.
mkuu acha wivu wakipumbavu huo, akicheat tu utamkamata wa subiri!
 
kwa hiyo wenye hali ya chini hawaogi asubuhi? uchafu ni tabia....

Nadhani wengi tunaongea kutokea DSM. Kwa maeneo ya baridi hili suala la kuoga (hasa kwa watu wa maisha ya kawaida au chini), huwa ni tete sana..si wanaume si wanawake!

mikoa yenye baridi tumeishi na tumeoga vilevile, haiwezekani kutetea kutooga, ina maana watu wa mbeya na lushoto hawaogi asubuhi?

Rafiki, usafi ni tabia! Mie ninmekulia sehemu za baridi lakini kuoga asubuhi na jioni ilikuwa lazima. Nimeshaoga maji ya baridi saa kumi za alfajiri nikiwa Moshi, Lushoto, Mbeya, na Arusha manake hupenda kuanza safari alfajiri. Nimejiwekea akilini siwezi kuamka kitandani nikatoka bila kuoga mwili mzima! Seuze mwanamke alieolewa kabisa, mweh!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
daaah kumbe kuna watu hawaogi asubuhi! tena wanawake na usiku walibanjuka! duh duh aiseee....alifundwa kweli huyo? na nguo anavaaje? khaa ahahaaa
 
kwa hiyo wenye hali ya chini (sehemu zenye baridi) wengi wao hawaogi asubuhi? .....
NDIYO! Imagine mtu anayeamka saa 11 asubuhi kwenda shamba kulima....ataoga ili iweje? Sidhani kama umeishi maeneo haya tunayoyazungumzia na aina ya watu tunaowazungumzia...kwa sababu hili lipo wazi sana! Hayo maji yenyewe ni shida.

Hata hivyo ni kweli usafi ni tabia.....hili silikatai asilani, pengine ninachosema hiyo definition ya usafi (au mtu msafi) pengine inatofautiana sana kutegemeana na mazingira pia.
 
Rafiki, usafi ni tabia! Mie ninmekulia sehemu za baridi lakini kuoga asubuhi na jioni ilikuwa lazima. Nimeshaoga maji ya baridi saa kumi za alfajiri nikiwa Moshi, Lushoto, Mbeya, na Arusha manake hupenda kuanza safari alfajiri. Nimejiwekea akilini siwezi kuamka kitandani nikatoka bila kuoga mwili mzima! Seuze mwanamke alieolewa kabisa, mweh!
nimecheka leo hadi basi ahahaaaa asubuhi watu wanaswaki tu kwisha!
 
Ushauri wangu kwako na wengine, usijaribu wala kuthubutu kufuatilia simu ya spouse wako, ni kujitakia ma presha yasio ya lazima, waswahili walisema za mwizi arobaini, kama kweli jizi, utalikamata tu, huna haja ya papara. Ila kwa maelezo haya uliyotoa sioni kama kuna kiashiria chochote cha hatari. Tulizana, enjoy maisha
 
Wapo wachache sana wa aina yako au yangu (siogopi maji ya baridi!). Ni vema umetaja maeneo hayo ambayo kwa bahati na mimi pia nimewahi kupita/ishi na ningeongeza na njombe,makambako, mufindi/mgololo kule, ifunda na hata iringa na kwa watani zangu kule pare. Kwa maeneo hayo ni nadra sana kwa watu kuoga mara mbili kwa siku (I would bet not more that 20% would take bath twice per day!). Naturally, wengi hawapo confortabe kuoga maji ya baridi na hivyo hupendelea kuchemsha kwanza au kuoga mchana (kama kuna jua).

Sasa huyu mwanamke mzima kushindwa kufanya utaratibu akapata maji ya moto akayaoga kila siku asubuhi je, anashindwa nini? Siku akioga baada ya lunch si atapewa talaka kabisa? Usafi ni karma aisee.
 
NDIYO! Imagine mtu anayeamka saa 11 asubuhi kwenda shamba kulima....ataoga ili iweje? Sidhani kama umeishi maeneo haya tunayoyazungumzia na aina ya watu tunaowazungumzia...kwa sababu hili lipo wazi sana! Hayo maji yenyewe ni shida.

Hata hivyo ni kweli usafi ni tabia.....hili silikatai asilani, pengine ninachosema hiyo definition ya usafi (au mtu msafi) pengine inatofautiana sana kutegemeana na mazingira pia.

Wewe case unayoongelea ni tafauti kabisa na hichi tusemacho hapa. Jamaa anaamka na mkewe, wanapiga passport na wanaenda zao kazini (sio shambani). Na jioni wakirudi wanaoga pamoja. Hata wa mjini kuna siku tunaamkia buibui, kuosha madirisha, gardening, kubadili mapazia ama ku-rearrange nyumba. Tutaanza kazi tukimaliza ndo tuoge. Mtoto wa kike hata kama haendi kazini shurti ukiamka unaoga baba, hata ukiitwa na mume mtoko wa surprise usimchomeshe mahindi.
 
una jilas sana!
Habari wanajamii

Mwenzenu naleta hoja hii. Inanihusu mimi mwenyewe na simzungumzii mtu mwingine kama ilinavyofanywa na wengine.

Nina mke na watoto, kwa muda mrefu tuliishi vizuri japo mikorogano midogo midogo haikukosa. Lakini mwaka huu mwenzangu kabadilika sana na nimeingiwa na hisia kuwa huenda kuna mahali mama watoto ana-cheat.

Kwa kawaida tukishaoga usiku asubuhi yake huwa haogi mwili mzima lakini usiku wa juzi kwanza alijifanyia usafi akafyeka NYWELE ZAKE kila mahali zilipo ukiondoa za kichwani (NADHANI NAELEWEKA). Jana kaamka saa 10.00 alfajili akaenda nje kuchemsha maji ili aoge (hii siyo kawaida yake).

Mimi nilibaki ndani kwa muda lakini alipoingia ndani akakuta najiandaa kutoka nje akasema nibaki ndani kwanza yeye atakuja kunistua muda mwafaka ukifika - huenda alitaka aoge na kujufuta maji mwilini huko huko nje bila mimi kujua. Alioga hivyo hivyo na kujipuliza pafyumu nzuri nzuri, kajivika cheni za dhahabu, lipstick, nk tofauti na nilivyomzoea. Kama kawaida tuliongozana kwenda kazini japo hatufanyi kazi sehemu moja.

Jana jioni au tuseme usiku kuna shughuli nilikuwa naifanya nje, akaja kuniuliza eti nafanya nini kwa kuwa yeye alitaka kulala, hapo chakula cha usiku (dinner) hakijaliwa bado. Lakini nilipoenda dinning yeye alikuwa anahangaika na simu yake tu.

Wazoefu wa mambo haya mnijuze tafadhalini. Je kwa mazingira hayo yawezekana tayari kuna mahali amepata 3rd party?

KILA MARA MWENYEWE HUDAI KUWA YEYE NI MSAFI SANA NA KWAMBA KAMA NI KUCHEAT LABDA ITAKUWA MIMI NDIYE NAMCHEAT NA SIYO YEYE, LAKINI NYENDO ZAKE ZINATIA WALAKINI.
 
Inategemea mmeishi mda gani na hayo mabadiliko Ni ya ghafla Sana Au la, nafikiri kuna kidume anapenda kukifurahisha na pengine Bado ajaliwa Au kaliwa, for an educated person na analysis zako nakuona muelewa na haukurupuki, work on every doubt you have toward your life, but please answer all questions before e:g: what if I find out she cheats? Devorce? Warning? Etc? Pole haya mambo Ni magma sana.

Habari wanajamii

Mwenzenu naleta hoja hii. Inanihusu mimi mwenyewe na simzungumzii mtu mwingine kama ilinavyofanywa na wengine.

Nina mke na watoto, kwa muda mrefu tuliishi vizuri japo mikorogano midogo midogo haikukosa. Lakini mwaka huu mwenzangu kabadilika sana na nimeingiwa na hisia kuwa huenda kuna mahali mama watoto ana-cheat.

Kwa kawaida tukishaoga usiku asubuhi yake huwa haogi mwili mzima lakini usiku wa juzi kwanza alijifanyia usafi akafyeka NYWELE ZAKE kila mahali zilipo ukiondoa za kichwani (NADHANI NAELEWEKA). Jana kaamka saa 10.00 alfajili akaenda nje kuchemsha maji ili aoge (hii siyo kawaida yake).

Mimi nilibaki ndani kwa muda lakini alipoingia ndani akakuta najiandaa kutoka nje akasema nibaki ndani kwanza yeye atakuja kunistua muda mwafaka ukifika - huenda alitaka aoge na kujufuta maji mwilini huko huko nje bila mimi kujua. Alioga hivyo hivyo na kujipuliza pafyumu nzuri nzuri, kajivika cheni za dhahabu, lipstick, nk tofauti na nilivyomzoea. Kama kawaida tuliongozana kwenda kazini japo hatufanyi kazi sehemu moja.

Jana jioni au tuseme usiku kuna shughuli nilikuwa naifanya nje, akaja kuniuliza eti nafanya nini kwa kuwa yeye alitaka kulala, hapo chakula cha usiku (dinner) hakijaliwa bado. Lakini nilipoenda dinning yeye alikuwa anahangaika na simu yake tu.

Wazoefu wa mambo haya mnijuze tafadhalini. Je kwa mazingira hayo yawezekana tayari kuna mahali amepata 3rd party?

KILA MARA MWENYEWE HUDAI KUWA YEYE NI MSAFI SANA NA KWAMBA KAMA NI KUCHEAT LABDA ITAKUWA MIMI NDIYE NAMCHEAT NA SIYO YEYE, LAKINI NYENDO ZAKE ZINATIA WALAKINI.
 
Naogopa dhambi tu, kama sivyo ningeisha kukupakazia tu...Lakini ukiendelea salma nakupakazia.

Haha haha utapata dhambi tu kwa kudhani, FYI, I am not Salma sijui nikwambia mara ngapi.
 
Wewe case unayoongelea ni tafauti kabisa na hichi tusemacho hapa. Jamaa anaamka na mkewe, wanapiga passport na wanaenda zao kazini (sio shambani). Na jioni wakirudi wanaoga pamoja. Hata wa mjini kuna siku tunaamkia buibui, kuosha madirisha, gardening, kubadili mapazia ama ku-rearrange nyumba. ...
Angalau sasa tunakubaliana kuwa mazingira yanaweza kubadili formula ya kuoga. Lengo langu lilikuwa ni kuondoa 'sweeping generalization' kwenye baadhi ya hoja zilizotolewa na wachangiaji.

Labda tu ili kutobadili mjadala nisizungumze sana hilo la kwenda "kazini"/"shambani" ......maana shemeji yangu pale mufindi akisema anaenda 'kazini' actually anakuwa anaenda shambani (ameajiriwa kwenye shamba la chai!). Na hata hapa mjini kuna watu wakisema wanaenda kazini kazi zao zaidi ni hizo za usafi, bustani etc (maofisini) ambazo wewe wazifanya nyumbani weekend (i.e. kwako wewe ni domestic lakini kwa mwengine ndio 'kazini')!
 
Back
Top Bottom