Ataenda kukuchomesha, kuna mtu nili m connect sehemu, aliyoyafanya anabaki kulaumu. Watu wa hivyo wengi hawako serious. Wanajaribu utafiti tu.
Wee umekutana na matapeli, wataalamu wako maporini ndani ndani, sio mjini, poleeee.
Km uko serious njoo nikupelekee chimbooo,
Hili hata Elon Musk Huwa namsikia analisema sanaGETTING RICH IS AGAINST HUMAN NATURE!
... get unatural to get RICH!
Uchawi haupo
NimekuelewaaaaAtaenda kukuchomesha, kuna mtu nili m connect sehemu, aliyoyafanya anabaki kulaumu. Watu wa hivyo wengi hawako serious. Wanajaribu utafiti tu.
Aisee tuwaombee sana watoto wetu aloo. Tumawekeza pesa nyingi sana kuwasomesha halaf mshirikina mmoja kirahiiisi tu anakuja kumtomba na kumharibia mwelekeo wakeNawafahamu wachache, mmoja ni mteja wangu kwenye lodge yangu
Yeye Kila siku lazima aje alale na mwanamke mpya
Ndagu yake ni kuchukua nyota za Wanawake Kila anapolala nao