Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,082
- 61,997
Kama ulishajiwekea misingi imara, hata ukilala masaa 12 pesa inaingia tu; kunakuwa hakuna shidaUkiona mawazo ya namna hii yanakujia, kuna issues mbili kwako;
1. Uchumi umeyumba, inabidi ujibane ili uendane na maisha.
2. Umri umekata, unaona kila unapoingia hu-fit na marina mengine.
Mojawapo ya kuzitafuta, ni kutumia zilizopo kufanyia mambo ya maanaTafuta pesa hayo mengine yatajiweka sawa
Zitakazo baki?Mojawapo ya kuzitafuta, ni kutumia zilizopo kufanyia mambo ya maana
Haziwezi kubaki, kwa sababu mahitaji ya muhimu ni mengi mnoZitakazo baki?
Umeneno mkuu,Ukiona mawazo ya namna hii yanakujia, kuna issues mbili kwako;
1. Uchumi umeyumba, inabidi ujibane ili uendane na maisha.
2. Umri umekata, unaona kila unapoingia hu-fit na marina mengine.
Maandiko hayakatazi mkristo kunywa pombe, divai wala kinywaji chochote chenye kileo ndani. Maana maandiko mengine huzungumzia kileo kwa kuhalalisha matumizi yake. Mhubiri 9:7 inaamuru, “ kunywa kileo na moyo mkunjufu.” Zaburi 104:14-15 inaeleza Mungu hutoa divai “ inayofurahisha mioyo ya wanadamu.” Amosi 9:14 inazungumzia juu ya kunywa divai kutoka kwa shamba lako kama alama ya baraka za Mungu. Isaya 55;11 inapongeza “ naam, njoo ununue divai na maziwa…”Haziwezi kubaki, kwa sababu mahitaji ya muhimu ni mengi mno
Na uzuri MUNGU anakupitisha uko ili akili ikuee na hata kuacha uko milele ktk anasaaUmeneno mkuu,
Kabla sijaishiwa vibaya sana,nilikuwa nashindwa kuacha tabia mbaya mbili;knunua nyapu na kucheza kamari.Nilipihika sana na hapo akili ilinikaa nikagundua kumbe zile ni tabia mbaya!
Somo la maisha halifundishwi,unalielewa bila kufundishwa!