MAMBO YA MAANDAMANO SHULENI

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,743
25,535
BABA KANIPIGA SIMU MAMBO YAKAWA HIVI.*

Baba: Mwanangu ni nini kinaendelea hapo shule?

Mimi: Maandamano

Baba: Na wewe umeungana na wenzako?

Mimi: Hapana

Baba: Vizuri sana mwanangu, fanya ujifungie kabisa hosteli.

Mimi: Sawa baba.



Kakata simu, baada ya dakika chache baadae kapiga tena simu kwa mwanae.

Baba: Mwanangu saa hizi hali ikoje?

Mimi: Ndiyo imezidi kuwa mbaya.

Baba: Kwani tatizo ni nini hsswa?

Mimi: Tatizo walimu wamepandisha ada kutoka 500,000 mpaka 1,000,000.

Baba: Whaaaat? Wewe uko wap?

Mimi: Nimejifungia hosteli kama ulvyosema.

Baba: Kenge wewe!!!!! Toka nje choma shule moto, tafuta kirungu ungana na wenzako.
 
FB_IMG_14892126340320781.jpg
 
Back
Top Bottom