1. Nyoka akitaka kukugonga kumuangalia au kutomuangalia hakutaleta tofauti.
2. Nyoka wana speed na accuracy wakati unajiuliza anataka kukugonga wapi anakua kashakufikia zaidi ya mara nne.
3. Nyoka hua analenga macho akiwa anarusha mate. Kobra hua na accuracy ya mpaka mita Saba. Koboko accuracy yake na speed no katika kuuma. Good luck trying to win staring competition.
4. Nyoka, mfano koboko hukua mpaka futi 8 kobra hufikia urefu huo pia. Hashim Thabit ana urefu wa futi 7. Pia koboko hupenda akiwa anashambulia awe anauangalia utosi wako kutokea juu, kwa urefu wake Hilo siyo tatizo, tatizo ni wewe kutaka umkodolee ili akimbie. Nyoka ni territorial kwamba ukiingia eneo lake atashambulia ili ajidefend lakini kobra na koboko hawana hizo ni watakufuata popote kikubwa wajue tu uelekeo wako.
5. Mtoto anaweza asishambuliwe na nyoka kwakua mtoto knows nothing about snakes, hatomshtua Wala kumbana bana, in short hatofanya nyoka ajione yupo at risk na anahitaji kujilinda. Ikitokea mtoto kamminya nyoka, nyoka hatosita kumgonga. Kuna kesi nyingi za nyoka kugonga watoto au kutaka kumeza watoto.
The only solution when you encounter snakes quickly turn into a honey badger.