Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,265
- 23,029
1. Ikiwa umemkuta tu sehemu kapozi.Usimtizame usoni.nyoka wengi hawapendi kutizamwa usoni.wanapatwa na hasira.ikiwa tu yupo sehemu amejilalia zake.achana naye fanya issues zako naye akimaliza mapumziko anaenda kwake.
2. Ikiwa mnakabiliana uso kwa uso mwangalie kwa makini hasa kobra,koboko au kifutu.mwangalie machoni ili uone anakuangalia sehemu gani akugonge.ukiona anakuangalia begani ujue ndo analenga sehemu hiyo. Epa.
3. Usimkimbie nyoka...mtizame kwa macho makali bila woga (ikiwa hukufanya lile la kwanza hivyo umeshamsumbua) .hapo atajua upo serious...anaweza ingiwa na woga na akiona umetoa sana macho atashusha hasira zake na kuanza kuondoka.atajua you mean biznez asikuone boya
4. Kama unakutana na nyoka njiani mwache apite zake.kila mtu awahi mishe mishe zake.huwa hawapendi kukatishwa safari zao.
5. Ukikuta nyoka anacheza na mtoto mwache we endelea na issues zako.ukijifanya kumkatisha atakumind kuwa umemwona yeye hajui kuwa huyo ni mtoto hivyo atakuonesha kuwa sasa ngoja afanye ulichowaza.atamgonga.