mariah leos
Member
- Jan 17, 2011
- 28
- 7
Great. Ila mi najiuliza ni vipi nitajua tabia ya mama ake endapo anaishi mbali mno?mfano mi nipo Arusha afu mamkwe mtarajiwa yupo Mtwara? Mambo mengi yananipa taabu kidogo kwani watu siku hizi hatuaminiki kabisa yaani tumekuwa wabaya kuliko hata wanyama.