Mambo ya kuwahi abiria na Boda Square

Mambo ya kuwahi abiria na Boda Square

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Mchaka mchaka tuu
 
13731659_1760005220947626_4519639368827736396_n.jpg
hii km naija vile, lakin photoshop imehusika sana hapo
 
Huyu tayari

Nakubaliana na wewe...huyu ni tayari...lakini after a second thought inawezekana huyu jamaa alifumaniwa, bodaboda yake ilikuwa imeegeshwa jirani, jamaa wakamshughulikia halafu wakampa adhabu hiyo ya kupanda bodaboda yake...tehtehtehteh usicheze na kufumaniwa jamaa unakuwa mpole kweli kweli...unaambiwa 'endesha kilomita kumi ukiwa hivyo na ole wako uvae nguo...'
 
Huyu kama hajatembea na mke wa mtu,atakuwa anatimiza masharti ya mganga kutafuta utajiri.
 
Back
Top Bottom