donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Mavimbwanga yoseAiseeee
Hapo kisukari, magonjwa ya moyo, unene wa kupindukia na gauti vitaisha kweli? Protein tu na mafuta hakuna hata salad jamani? Sauce siyo salad hebu weka greens hapo hebo!Mavimbwanga yose
Wivu tu huo! Mbona wamasai hawana hayo unayoyasema!Hapo kisukari, magonjwa ya moyo, unene wa kupindukia na gauti vitaisha kweli? Protein tu na mafuta hakuna hata salad jamani? Sauce siyo salad hebu weka greens hapo hebo!
Hahaha Mmasai anatembea Km ngapi kwa siku? Je, madawa wanayoshindilia kila wakila nyama unayajua? Unless huyo mlaji ni mbeba vyuma na magunia yaani kuli nitakubali. Kama White and blue colour person, mh? Sina wivu ila roho inauma kwa kujiharibu mwili.Wivu tu huo! Mbona wamasai hawana hayo unayoyasema!