Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,899
Hakuna kazi isiyo lawama....!!!
Kumbe wewe upo"kazini"?
Hakuna kazi isiyo lawama....!!!
Kila nchi huwa na utamaduni na mila zake. Kwa utamaduni wao waswazi hizi picha ni sahihi kuonekana kwenye kadamnasi LAKINI KWA UTAMADUNI WETU SI SAHIHI. Hivyo #moderator na #invisible na mods wengine nadhani ipo haja ya kulinda mila na tamaduni zetu ,hivyo ni busara kama wangeutia kapuni uzi huu kwa sababu kwa utamaduni wetu hii ni sawa na "ponographs" tu.ikumbukwe kuwa wakati tunajifunza tamaduni za wengine basi tuwe makini TUSIVUNJE tamaduni zetu.
I stand to be corrected!
Huyo mswati hana adabu,nikuwadhalilisha mabinti huko.
Kuna haja ya kufanya investment katika nchi ya Mswati.
Kuna haja ya kufanya investment katika nchi ya Mswati.
Mkuu, mimi ilibidi elimu ya Chuo Kikuu nipate huku, ingawa chuo chao hadhi yake sio sawa na UDSM. Ndo hapo nilikuta maajabu ambayo mpenzi wako wa kike anamwonea huruma rafiki yake wa kike ambaye hajapata mwanaume for almost a month, anakuomba wewe wa kwake uende naye baada ya hapo maendelea na mambo yenu kama kawaida. Thubutu nyie Dada wa Kibongo huko Dar, ukijaribu ujue imekula kwako.