mambo ya kilevi

Mr Rocky. Uko poa mkuu? Wewe unapiga mvinyo hapo lakini? Samahani jana nilipotea ghafla, kama kawa napiga bia zangu taratiibu ila leo niko na mshkaji ila yeye ndio sijui ataondoka mwenyewe hapa au vipi sababu kapiga round mbili kamuinclude na mhudumu.ngoja nione uungwana wake leo.karibu bia.

Mkuu Sangarara niko salama kabisa mkuu. Dah nikajua jana umeishia na mhudumu ambaye alipandisha joto la mwili wako mkuu
Niko bana leo weekend hapa napiga kitu cha castle lite aise maana kesho mapumzko bana
Asante sana kwa makaribisho aise ningejua uko wapi ningeungana na wewe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom