Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko natandika bia hapa,lakini sina company na huyu dada hapa counter yuko busy kwelikweli.
Kama kuna member ambaye yuko kwenye situation kama yangu naomba tuanzishe maongezi ya kilevi kusukumia hizi bia vizuri.
Sangarara kunywa bia yako ukalale kabla hizo bia hazijahamia ubonngo wa chini ukajikuta umeenda kutembea bila ndala
Let him fesi ze kwensekwensez!
A T A J I J U...!!
Kabisa ila asije akasema hakuonywa aise
Hapo sasa ni balaa kubwa sana maana huchelewi kumuona malkia Cleopatra wakati ana sura kama bibi na matiti yashalala yako saa kumi na mbili ila kwa vile kuna jeki siku hizi hupati shida aise.
Angalia sana mkuu Sangarara
Sangarara naona umeianza weekend mapema. Angalia sana mkuu usije ukaondoka kichwa cha chini kikiwa cha moto
Unapiga fanta lager,haya mkuu piga hyo lakini usipotee boma maana huwa vinalevya hvyoMlandege,habari yako mkuu.
Popote pale ulipo enjoy your licor.mi nimeanza cycle ingine hapa,kiwanja kilekile napiga castle lites zangu za moto.