Mambo ya Guest Houses

Habar wandugu, nimepata taarifa eti wahudum wa nyumba za wagen huwa wanachukua shahawa wanazokuta mara baada ya wateja kutoka na kufanyia mambo inayosababisha mwanaume kushindwa kusimamisha uume je ni kuna ukwel kuhusu hilo swala asanteni

Sasa wanachukua wanazipeleka wapi ? na kuyafanyia nini hayo mabao
Au ndio yale yale ya kuleta lawama kwa kila kitu
 
Watu wamepanic baada ya kusoma hii thread, maana wengi wamejikuta ngoma hazisimami wakakumbuka safari zao za kwenda guest!

Hahahahahahahahaha!Mkuu umenifurahisha sana,kweli Guest house ni za wenyeji(Source humu JF)
 
Afadhali wawaloge, tena wangeziloga zikakatika m-soo-soo mmechuchumaa ili mjifunze kujisitiri na ukahaba! Yaani mie huwa sipati picha kufanya kazi guest, mashuka ningefua na gloves hadi kutandika kitanda pia!
 
Habar wandugu, nimepata taarifa eti wahudum wa nyumba za wagen huwa wanachukua shahawa wanazokuta mara baada ya wateja kutoka na kufanyia mambo inayosababisha mwanaume kushindwa kusimamisha uume je ni kuna ukwel kuhusu hilo swala asanteni
kweli kabisa. lakini ni kwa mikoa ya pwani tu.
 
Ole wako member mwenye IMANI haba kwn itakula kwako!

Hakika bado watu wana Imani haba kweli kweli!

Ndio nimesikia kwako!
 
Vipi?? Washakutenda? Ni kweli kabisa.

Mie walichukua mate yangu, saa hivi ulimi hauyumbi yumbi tena, upo kama chatu aliyemeza mbuzi.

uhahahahahah...Kh!
Nikiwa Na KONGOSHO!!...Nacheka Kivje Mie!!!!?
 
Afadhali wawaloge, tena wangeziloga zikakatika m-soo-soo mmechuchumaa ili mjifunze kujisitiri na ukahaba! Yaani mie huwa sipati picha kufanya kazi guest, mashuka ningefua na gloves hadi kutandika kitanda pia!

Hivi huwa wanafanya wenyewe......au kuna mtu wa pili
 
kwa nini usitumie guest house ambazo zina self contained rooms. ukimaliza unazi-flash chooni. hizoguest house za uchochoroni hukawii kufungiwa kamera chumbani ukawa hujui kama umeshakuwa porno star, watu wanaangalia clip zako kila kona ya mtaa.
 
kama ikishindwa kusimama usiisingizie guest na wahudumu wake. Chukua tahadhari na kamuone Dr.
 
Labada wanapeleka maabara kwa ajili ya ugunduzi wa vidonge vya kupunguza umalaya/uhuni, (science vs technology)
 
Habar wandugu, nimepata taarifa eti wahudum wa nyumba za wagen huwa wanachukua shahawa wanazokuta mara baada ya wateja kutoka na kufanyia mambo inayosababisha mwanaume kushindwa kusimamisha uume je ni kuna ukwel kuhusu hilo swala asanteni

Na wanaume wanaopenda gest mkome mmezoea sana kuzoa zoa acha wawafanyie mambo zisisimame kabisa....
 
Back
Top Bottom