Unaongelea jina FDRL? au roots ushaambiwa ni masalia ya askali wa HabyarimanaFDRL ilikuwapo 1994 au ilianzishwa 2000?
Unaongelea jina FDRL? au roots ushaambiwa ni masalia ya askali wa Habyarimana
Sio yeye tu, nimaelfu ya wapiganaji wa FDRL wamerudi Rwanda, wengi wamerudishwa jeshini wengine kupatiwa kazi serikalini, wengine wamerudi vijijini mwao...Muanzilishi wa FDRL kapewa ukuu wa Magereza Rwanda? YES OR NO?
Ndio, alikuwa mwanajeshi wa serikali ya Habyarimana kabla.na huyo mkuu wa magereza alikuwa masalia pia?
Ndio, alikuwa mwanajeshi wa serikali ya Habyarimana kabla.
Disarm na kurudi Rwanda au wapelekwe mbali na mpakawait, so what does kagame want with FDRL?
Of course utakuwa biased, there are more poor people in Rwanda than in Tanzania percentage-wise, Gross domestic Product per capita ni kubwa kwa Tanzania, theres more freedom in Tanzania,economic growth was highest in EA in 2013 and among the top in 2014.Kobello how do u measure development? Uchumi ambao una miaka 50+ with a peaceful society and understanding citizens who r have been patient all that long but the economy doesn't benefit an ordinary farmer with a fertile land rather it benefits mpiga dili Wa mjini ambae ni sound nyingi tu wala hatoi jasho
wewe ushabiki tu! waulize FDLR watakueleza mziki wa RDF,unafikiri zaidi ya FDLR 10000 kurudi nyumbani ilikua hiari yao, uliza vizuri.
Watanzania Dr slaa anawafaa.. Hamna blah blah ni kazi tu. Acheni maneno mengi kazini ndo msingi Wa maendeleo. Sio kama wengi wenu ni madalali tu( rent seeking economy). Hata viongozi wengi wanategemea udalali sio kufanya kazi ili walete maendeleo
Kobello how do u measure development? Uchumi ambao una miaka 50+ with a peaceful society and understanding citizens who r have been patient all that long but the economy doesn't benefit an ordinary farmer with a fertile land rather it benefits mpiga dili Wa mjini ambae ni sound nyingi tu wala hatoi jasho
Inaonyesha umemind sana mimi kusoma SUA na hako kajamaa, he was alright. The point ni kukukumbusha kuwa wakulima wetu wamewatunza baadhi yenu and you know this.Kobello do u see any hope ahead kwa wakulima Wa Tanzania ambao budget ya kilimo ni ndogo na most of the budget ya kilimo ni expenditure ya kulipa mishahara na budget ya maendeleo ni ndogo na hata hio ndogo inaishia mikononi mwa mchwa. "Nimesoma na MTU ambaye alikuwa SUA sasaivi n MTU mkubwa rwanda" so wat? Kwanza kuna different models of development kuna DDM( developmental democratic model) ambayo ndo kama ya Tanzania na Kenya. Ambayo maendeleo yanakuja but yanachukua mda coz of blah blah nyingi. Kuna ingine inaitwa DM( developmental model) hii tukisema tunajenga mjini Wa kigamboni unajengwa na hela zinaenda Hamna maneno mengi sasa choose where u belong in those two. Hayo yakusema umesoma na MTU SUA Haisaidii hata Jana Lipumba kwenye RAIA mwema kasema alisoma na Donald kaberuka na alikuwa kichwa mbaya ndo MTU anayemkumbuka kwa akili. So hata wewe hiyo Wa SUA una weza ukawa admit kuwa ni kichwa balaa. Cheers
Hakuna mtanzania anaesoma nchi ya jirani bure .....Kobello unajua kuna watanzania wangapi wanasoma Rwanda as we speak.. Kusema nchi ya jirani ni kitu cha kawaida, when u start showing off, that's a problem. Watanzania wengi wanasoma nchi za jirani. Hizo unazoziita funny models ndo Sina differentiate btn the developmental models used in Singapore and Malaysia