Shekizongoro
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 388
- 153
Hivi huwa kuna form nyingine watu wa EAC huwa mnakutana kunyukana kama JF
Hivi huwa kuna form nyingine watu wa EAC huwa mnakutana kunyukana kama JF
Disarm na kurudi Rwanda au wapelekwe mbali na mpaka
Kobello do u see any hope ahead kwa wakulima Wa Tanzania ambao budget ya kilimo ni ndogo na most of the budget ya kilimo ni expenditure ya kulipa mishahara na budget ya maendeleo ni ndogo na hata hio ndogo inaishia mikononi mwa mchwa. "Nimesoma na MTU ambaye alikuwa SUA sasaivi n MTU mkubwa rwanda" so wat? Kwanza kuna different models of development kuna DDM( developmental democratic model) ambayo ndo kama ya Tanzania na Kenya. Ambayo maendeleo yanakuja but yanachukua mda coz of blah blah nyingi. Kuna ingine inaitwa DM( developmental model) hii tukisema tunajenga mjini Wa kigamboni unajengwa na hela zinaenda Hamna maneno mengi sasa choose where u belong in those two. Hayo yakusema umesoma na MTU SUA Haisaidii hata Jana Lipumba kwenye RAIA mwema kasema alisoma na Donald kaberuka na alikuwa kichwa mbaya ndo MTU anayemkumbuka kwa akili. So hata wewe hiyo Wa SUA una weza ukawa admit kuwa ni kichwa balaa. Cheers
ndugu uliyeandika hapo, umesema kweli kabisa kuwa FDLR wamekuwa msituni for good two decades, lakini umesahau kuwa kagame amekuwa ukimbizini msituni na ugenini for three good decades. the situation FDLR are experiencing ndio situation kagame ameexperience for 30 years. kagame pia alikuwa terrorists kama mnavyowaita hao FDLR. miaka 20 kwa kigali kuwa ilivyo ni kichekesho, it should have been better than that. kumbuka kuwa hilo ni eneo dogo sana mfano wa mkoa wa dodoma Tanzania, mkipata msaada au mkopo mdogo tu ni rahisi kuhudumia na kujenga kila eneo kwasababu ni dogo, imagine if Tanzania was as small as Rwanda, with the budget we have, ingekuwa London. hivyo usione kama hapo ulipofikia mmefikia maendeleo makubwa sana, the problem is that, mnaishi kigali tu hamtembei kwingine duniani hata africa tu ndio maana mnaamini dunia yote ipo kama kigali, umesahau kuwa kiuchumi hata kujengwa tu, kigali inalinganishwa na Arusha na Mwanza tu kwa Tanzania, mlichotuzidi ni usafi tu ila miundombinu na mzunguko wa pesa, you are backward.jMali maendeleo ya nchi huletwa na watu ambao ni willing kuiendeleza na a peaceful environment to conduct economic activities and also an environment which attracts foreign investors with enough capital, sijui unavyosema kuwa Hamna peace unamaanisha nn wakati unajua kuwa Kigali and Your country Rwanda is in peace and people move freely and conduct their economic activities. Hizi blah blah za JF sijui FDLR hivi vile hazibadilishi momentum towards creating an economic power house in the great lakes which attracts all its neighbours to come and invest in future whether in education, health and many other economic potentials. It will reach a time when FDLR Won't b relevant according to the future situation. A group has been hiding in bushes for two decades if you take one of its leaders and drop him in the capital Kigali, they will just paralyse bcoz things have changed longtime. Hata wewe najua ukifika Kigali deep inside unasema these guys are doing something. Only that yo mind and heart is still hardened.
ndugu uliyeandika hapo, umesema kweli kabisa kuwa FDLR wamekuwa msituni for good two decades, lakini umesahau kuwa kagame amekuwa ukimbizini msituni na ugenini for three good decades. the situation FDLR are experiencing ndio situation kagame ameexperience for 30 years. kagame pia alikuwa terrorists kama mnavyowaita hao FDLR. miaka 20 kwa kigali kuwa ilivyo ni kichekesho, it should have been better than that. kumbuka kuwa hilo ni eneo dogo sana mfano wa mkoa wa dodoma Tanzania, mkipata msaada au mkopo mdogo tu ni rahisi kuhudumia na kujenga kila eneo kwasababu ni dogo, imagine if Tanzania was as small as Rwanda, with the budget we have, ingekuwa London. hivyo usione kama hapo ulipofikia mmefikia maendeleo makubwa sana, the problem is that, mnaishi kigali tu hamtembei kwingine duniani hata africa tu ndio maana mnaamini dunia yote ipo kama kigali, umesahau kuwa kiuchumi hata kujengwa tu, kigali inalinganishwa na Arusha na Mwanza tu kwa Tanzania, mlichotuzidi ni usafi tu ila miundombinu na mzunguko wa pesa, you are backward.
kuna profesa mmoja wa Canada alihojiwa hard talk mwaka juzi, alienda RWanda anashangaa, anasema hayo maendeleo ambayo vyombo vya habari vimenunuliwa kuwa Rwanda imefikia yako wapi mbona ameona ni typical african country yenye wananchi masikini wa kutupwa. misaada michache ambayo Tony blair amewapigia debe mmeishia kujenga kigali, mikoa meingine yote ni ya kuionea huruma. hamuishi kupiga picha vigorofa vyenu vichachee na kuviweka kwenye media ili wasema hata ninyi mmejenga vigorofa....hahaha, hivi kigali ingekuwa dsm si mngepasuka nyie....
kwa kuongezea tu mkuu,
1. Hiyo kigali yenyewe majengo mazuri karibu yote (skyscrappers), biashara, viwanda etc, ni mali ya makampuni yaliyo chini ya chama tawala cha RPF. Chama cha RPF ndio virtually sekta binafsi nzima! Ukiingia humo RPF ndio unakuta maajabu. Mwenyekiti wa RPF kagame ndie peke yake anayejua akaunti za chama zinaendaje endaje, yeye ndie anayeteua wakurugenzi n.k. Hivyo kimsingi Rwanda nzima ni mali ya Kagame. Chanzo cha kufukuza wanachama wakubwa wakubwa ni hicho cha wao kutaka uwazi katika "mali za chama".
source: rwanda_briefing_august20102.pdf
Na huo ndio ujinga wako jMali ambao unakufanya hata usirudi kwenu! Tangu lini umewahi kusikia/kuona mali isiyo na mwenyewe? we ulifikiri tutakusubili ndio tuanze biashara? RPF biashara hazijaanza leo, tokea miaka ya tisini tunapiga pesa tu, alafu ulivyomshenzi hata haujiulizi, tusigekuwa wajanja tuka invest kusudi tutengeneze pesa wale ndugu zako tuliowatoa Tingi-tingi tungewalisha nini kipindi kile? si wangekufa na njaa, au ulikuwa unaomba mungu wote wafe upate nafasi ya kumshutumu Kagame kwa mauaji kama kawaida yako? leo unawipigia debe RNC na hivyo vi report vyao, hao majamaa bila Kagame hata ndugu zako walioshindwa kukimbia vita usingewakuta achia mbali wa Tingi-tingi
Ngoja nchi hii achukuwe Membe kama kagame akukimbilia uhamishoni

ah kumbe na wewe, msanii haumkubali? mi nilidhania janja yake ya nyani naiona mie tu! ile kale kakijeba wala kasikutishe, hakana lolote bora hata ya Professor
Oops asanteni sana jamani wote mliochangia humu,yaani nilikua sijui lolote kwenye hii issue ya rwanda,sasa etilisti nimejua nikifika pale kijiweni kwangu bar moja iko mtaani kwangu, I can talk something na waswahili wanavyopenda story,mbona wiki yote hii sinunui bia, kwanza nailefusha hii story halafu nawamegea kidogo kidogo wiki nzima,kila siku watakua na kazi ya kunipigia niwahi kijiweni just 4 this story,na bia wataninunulia ni issue nzito ki ukweli lakini ni nice story nimejifunza mengi sana ,thank u all mliochangia nimewakubali wote mko vizuri nimepata darasa kidogo, na mimi nachangia kidogo kikwete yupo right ,kagamee hata kama unamoyo wa plastik ,huku kwetu bongo kuna silaha moja tunayo inaitwa usanii ,apply this weapon ongea na hao jamaa ni hayo tu

Lol... Yani umeniacha hoi kweli! Tena hata usihangaike kuilefusha, we subili jMali atakuwa anakumegea kidogo kidogo, hata yeye ndizo zinamtunza Bongo... Ila ushauri wako wa usanii kwa Rwanda haiwezekani ni watu wagumu sana kukubali usanii, wanachotaka ni maendeleo, usanii. Ulifanywa na kina jMali tuliona ulipotufikisha, sema umenivunja mbavu.
mkuu sijakuelewa. Usanii kivipi?
kwani we kibao-kata kitu gani unachoelewa fasta? au hauishi bongo? nenda muhimbili ukaangalie watu wanavyo onjeshwa utamu wa usanii wakati wasanii wakuu wanabeba pesa kwenye viloba, au mawazo na macho yako yote yako Kigali?
Mzee wa sumu, Hili tatizo lako la kiakili naona linazidi kukua. Nakushauri ukapate matibabu ya kutosha. Ulisema passport ya Tanzania ulishairudisha. sasa huko muhimbili ulifikaje? Hii ni milembe case.....LOL
Au utakuwa umetoloka muhimbili wewe