JustDoItNow
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,967
- 1,513
lol... Kwa taarifa yako, nilikuwepo huko Dar mwaka jana mwishoni, na kwa jinsi nnavyowajuwa wasanii hata JF siku ivisit, nnavyowaanika upimbi wenu! mgenipata lazima mngening'oa kucha, huko nikuja kimyakimya, ingawa mnajitapa na freedom uchwara... hivi wewe usawa huu nani anatamani gamba la Bongo? ni wewe na bwana yako jMali tu.
Mzee wa sumu, hizo illusions zako ndo zinakufanya uwe chi.zi. Mwanzoni ulisema ulishatoka Bongo miaka mingi. Leo unasema umetoka mwaka jana. Wewe upo hapa hapa tu. Sasa jaribu kuwa na point zinazoeleweka. Alafu unaonekana wewe ni mlevi na huna hoja ya msingi ndo maana kila unachokipata kwenye google unakileta hapa.
Duuu, kazi kweli kweli.