Mambo ya fashion hayo

Mambo ya fashion hayo

Tatizo lenu mnatumia bhange kwa staftahi! Bange unavuta baada ya ugali mkuuubwaaa na mchicha pori wenye pilipili. Shauri yenu! manoah, achana na vijana hawa wanatafuna mbegu za bhange.
 
Last edited by a moderator:
Kubip ikulu ni suicide mission. Mimi muke ya Paw, mutu ya watu. Mutu yenye kujulikana dunia muzima. Mutu ya pesa mingi. Mutu ya influence jf. Hapana chezeiya king'asti, mamaa ya markaveli! Utasanda!
Alafu usitishie watu Ban
 
Nimeagizia gari la dhahabu,na nguo nimeleta za dhahabu unaonaje siku zikishaingia gari na hizo nguo uwe wa kwanza kulipanda ntakupeleka tukale chakula kwenye hotel ya kitalii

Tatizo lenu mnatumia bhange kwa staftahi! Bange unavuta baada ya ugali mkuuubwaaa na mchicha pori wenye pilipili. Shauri yenu! manoah, achana na vijana hawa wanatafuna mbegu za bhange.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha, hoteli ya kitalii ndo umeona dili mwenyewe? Mie huwa.napenda kwenda shamba, kijijini. Hapo umenoa kabisaaa. Kaanzishe thread kulee utangaze unataka mke na hizo ndo fringe benefits. Mie niko taken long tyme kitambo!
Nimeagizia gari la dhahabu,na nguo nimeleta za dhahabu unaonaje siku zikishaingia gari na hizo nguo uwe wa kwanza kulipanda ntakupeleka tukale chakula kwenye hotel ya kitalii
 
Pesa yake yenyewe ya masharti, hua haluhusiwi kupanda gari, wala kuvaa viatu na hatakiwi kua na mausiano na mwanamke
Yaani kweli huyu mporipori haswaa. Sound za kizamani. Magari ya dhahabu wasipewe kina princess diana na dodi al fayed aje akalete yeye?
 
Chezeya bahati weye,iko tajengea nyumba bebe masaki,tanunulia bebe luxury bus la kutembelea lenye brand name yako.hebu ukae chini ufikirie tena usipitwe na bahati hiyo,vadogo zako vote tapeleka ulaya,msichana enu ya kazi tapeleka yeye dubai na mbwa wenu tapeleka malawi



Yaani kweli huyu mporipori haswaa. Sound za kizamani. Magari ya dhahabu wasipewe kina princess diana na dodi al fayed aje akalete yeye?
 
Veve hautaki viatu vya high heels kama vya beyonce alivyovaa siku anafunga ndoa na sean carter aka jay z?iko tanunulia bebe mbwa germany shepherd na nyingine ya south africa,chezea manoti bebe,tajengea nyumba kubwa bebe kama ikulu,nitakununulia kiwanda cha bakhresa tuvibadilishe viwe shule tupeleke batoto betu bakasome

Unampa 'ela' kwani manoah kakuambia anauza nini vile?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom