Sasa unashangaa nini mkuu? Mbona wewe shemeji yangu kimtindo mbona sisemi? Ntasema hapa utafiti ????
Na wewe umeulizwa??!!! Yote hayo ya nini? Mbona wewe kutwa uko PM mi sisemi?
Nenda tu kalale ila mwisho wa safari ya chelsea unakaribia
Karibu sn Darajani mkuu JUMAPILI hii inayokuja!
Ila Angalia Costa atamfanya Wenger ungonjwa wake wa kuanguka uje!
Mkuu saivi tuna points 10 tukimfunga chelsea tunakua na 13 bado 3 kumfikia chelsea....patamu apo...
hahahahaaaaa,hapo ni umbo ndio dogo ila umri mkubwa huyoKaonee huruma bado kadogo