Mambo ya dizonga

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
80,856
106,084
Kabali we isikie tu!ila ikikukuta ndiyo
UtaijuašŸ˜‚
Hii clip nkiangalia nabakia kucheka sana
Hahaha,kwanza imenikumbusha mbali sana
Maana nlishawahi kutana na kabali kama hii
Nchi fulani kusini mwa America enzi za ubaharia,nkiangalia hii clip nabakia kucheka tu
Mshana Jr
mama D

Ova
 
Attachments

  • VID-20210811-WA0012.mp4
    2.6 MB
Mapema mno Tena nlivyoona kikosi nkajua imekula hio
Kwa mara nyingine tena, pole Kiongozi.

Arsenal sio wa kuwawekea udhamini, siku usiyotegemea ndio wanafanya maajabu.

Wenger kipindi chake cha Ualimu tulikuwa tukidhania anacheza Kamali, kumbe Arsenal ndio zao
 
Kabali we isikie tu!ila ikikukuta ndiyo
Utaijua
Hii clip nkiangalia nabakia kucheka sana
Hahaha,kwanza imenikumbusha mbali sana
Maana nlishawahi kutana na kabali kama hii
Nchi fulani kusini mwa America enzi za ubaharia,nkiangalia hii clip nabakia kucheka tu
Mshana Jr
mama D

Ova
Roba za Mwananyamala hizo.. Yani kabla hujajua nini kimekupata tayari wana wanakuwa wameshamaliza kazi
 
Back
Top Bottom