Mambo ya CHADEMA yanatia kizunguzungu

Swali dogo la kujiuliza
Mfano viti maalum wasingekwenda Je chadema wangepata faida Gani?

Coz hawana ela, na chama kama chadema uwez kukiongoza bila kuwa na pesa

Na hakuna mtanzania kwa Sasa anaweza kuchangia chama kwa miaka mitano

Nyie mnaongea kwenye mitandao tu then mnarud kwenu kulala na mishahara mnapata

Tuwe tunawaza nje ya box
 
CHADEMA SASA HAYA NDIO MAMBO YA KUANDAMANA 😂🤣😂🤣 ILA BADO MKO MTANDAOONI HATA HAMJAJITOKEZA KUIONYESHA DUNIA MNAPINGANA NA HAO WADADA🤣😂🤣😂 MPO TU MATYPE TYEPE😂🤣🤣
NDIO MAANA NIKISEMA CHADEMA NI MAZUMBUKUKU MSIKATAE SASA MNALIALIA MTANDAONI ILI IWAJE WENGINE MNAZILA KABIZA MNATAKA NA KUCHOMA CARD🤣😂🤣😂😂

NAWAMBIIA HIVI SIASA NI CCM NA CCM NDIO SIASA MTAZEEKA KUSIMULIA 😂🤣😂🤣

SASA KUWAUMIZA KABISA MLIEEEE

MDEE NAIBU WAZIRI

MATIKO NAIBU WAZIRI

BULAYA NAIBU WAZIRI

WANAKULA MA V8

Unazijua viiieteeee wewe 😂🤣😂🤣😂🤣 in Polepole Voice


HARAFU MKIENDELEA KUKETA FYOKO HAWA WADADA WATAWAFUKUZA UANACHAMA KINANMBOWE NA MYIKAAA KAM HAMWAMINII SUBIRINI

NA KAMA VITA TUSHAKAMATA MATEKA USHENZI NA MBINU ZOTE MLIZOZIFANYA WA UCHAGUZI TUATAZIFAHAMU SASA HUKO THE HAGUE MTAENDA NYINYI HAHAHAHA

USIJE UKACHEZA NA KITU KINAITWA CCM KWENYE MAISHA YAKO IHESHIMU CCM KAMA MAMA ALIEKULEA MIEZI TISA TUMBON
 
Hivi inawezekanaje makumi ya wanachama akina mama/ dada wa CHADEMA waende kula viapo vya kuwa wabunge wa viti maalumu [hivi huwa wanamwakilisha nani hawa wabunge wa hivi viti?] halafu katibu mkuu wa chama asikitambue kitendo chao hicho?...
Kwani wa ccm wanamwakilisha nani.watawawakilisha wananchi kwani wewe hujui.?Au sababu ni wa viti maalum?Funguka acha ushabiki.
 
Shida yenu ni kwamba mna overrate Tundu Lisu sana, huyo jamaa ni mediocre sana, kwanza ni average hata kwa standard za kibongo amefika hapo alipofika kwa uogo, usaliti na utapeli, kuwa mnamsifia lkn hakuna achievement yoyote tangible siyo ya kielimu au hata ki career anayoweza kuonyesha, ...
Unaallergy na Lissu hapa wanazungumziwa akina Mdee umekazana Lissu hata kama humpendi jaribu kuficha ushetani wako
 
Shida yenu ni kwamba mna overrate Tundu Lisu sana, huyo jamaa ni mediocre sana, kwanza ni average hata kwa standard za kibongo amefika hapo alipofika kwa uogo, usaliti na utapeli, kuwa mnamsifia lkn hakuna achievement yoyote tangible siyo ya kielimu au hata ki career anayoweza kuonyesha, ...
Chukua balimi kumi kwa mangi ntalipa. Mdogo mdogo watu watamfahamu mpumbavu yule cc Sky Eclat Mshana Jr (tatizo lako elimu ya kuunga hadi Korogwe TTC ndo maan huoni mapungufu ya Tototundu)
 
Picha la kutisha
IMG_20201124_191152.jpg
 
Sitaki kusikia tena hiki chama.

Kuanzia leo

1.sitakuwa na chama.

2.sipigi kura, mpaka ipatikane katiba mpya na tume huru.

Chadema mmenipa hasira isiyomithilika.
 
CDM ni wababaishaji sana. kwanza kuwapa viti maalumu watu walioshindwa kwenye majimbo ni kukosa demokrasia. CCM ukishindwa jimbo huwezi kwenda kupewa viti maalumu.
Kama nchi tunataka siasa za vyama vingi tuanze moja. Hawa waliopo ni wababaishaji.
 
Back
Top Bottom