Black billionaire
JF-Expert Member
- Oct 16, 2018
- 455
- 529
Same ‘ol same’ol.Na wakishshiriki ichaguzi, watadai wameibiwa na kesi iko mahakama ya kimataifa.
Chadema ni kigeugeu sana.
Na subiri utaona. 2025 watashiriki tena chaguzi.Ngabu una uzi wako humu, if u do what u always do, nafikiri ndiyo lilikuwa neno lako kuu...
Wengi tukasema hakuna wapinzani zaidi ya wachumia tumbo, hakuna cha maslahi mapana ya taifa, ni maslahi kwa ajili ya matumbo yao mapana.
Wengi tulijua njaa, njaa, njaa na ubinafsi wao will eventually catch up nao.
Walihakikisha serikali za mitaa hazina wenyeviti wa upinzani wao wenyewe, kwa kuhamasisha watu wasusie na kujiengua kushiriki. Ilipofikia kwenye ubunge na udiwani wao wakashiriki kwa kampeni kubwa kubwa.
Hawatambui uchaguzi yet wanatambua viti vya bure. 🤣 🤣 🤣
Hotuba za praise & worship zitatokea mpaka kwa hawa hawa.
Everyday is Saturday................................😎
No surprises...Na subiri utaona. 2025 watashiriki tena chaguzi.
Watayagomea matokeo. Ila bungeni wataenda [hao wachache wataobahatika].
Na hapo bado, hizo ni rasha rasha. Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeTena safari hii watakuja na mikwara mingi zaidi
![]()
😁😁😁😁😁
Haswa wanasiasa uchwara na vibaraka kama huyo🤣🤣🤣🤣Wanasiasa ni watu hatari Sana Kwa afya ya mtu mwenye Imani nao!
Na bado kuna mtu anaendelea kuamini kila neno linalotoka katka kinywa cha mwanasiasa Aina hii!!Haswa wanasiasa uchwara na vibaraka kama huyo🤣🤣🤣🤣
Malizia tu kwamba utabadilisha ID uje tena kuendeleza harakati uchwara..Kuanzia leo
1.sina chama
2.sipigi kura
3.sitoongelea siasa
Chadema mumenikasirisha sanaa .