Mambo ya cassano!

Mambo ya cassano!

Labda kama nimesahu hasira kwenye mfuko wa bread asubuhi...kwanza HAIWEZEKANI unifanye ivyo bhana...
 
mambo ya ubaguzi/udhalilishaji wa race,,aliyeshikwa muafrika,,kupongeza gani huko?
 
duh! aibu .... huyo jamaa ni nani aliyechomekwa kidole!?
 
Back
Top Bottom